WEBSITEs & APPs mhimu

Hatufuati ratiba, ama hatufati mupangilio wowote, tunaweka tu chochote tunachogundua kuwa muhimu ….and may be free to access🤷‍♂️!

HAPA UJANJA tu👨‍🎓


GOOGLE TRANSLATE ni moja kwa hizo APPLICATION zinazosaidia kutafsiri lugha, infact unaeza ata kupiga tu picha ya hayo maneno unaotaka kutafsiri🤷‍♂️

Kuweka APP kwenye simu BONYEZA HAPA

Tovuti ni translate.google.com

 

 


PDF READER Kuweza kusoma file ama vitabu vya PDF

Kwenye simu BONYEZA HAPA 

Kompyuta💻 kubwa HAPA,

ama tafuta/google PDF reader.🤷‍♂️

 

 


VLC PLAYER ina uchawi kuweza kucheza audio au na video ikiwa katika format yeyote👌! So kama unajaribu kucheza video alafu inakata kufunguka, karibu

Kwenya simu BONYEZA HAPA

Computer💻HAPA kisha bonyeza download


Kufungua ZIPPED FILES
Unaeza kutana zipped file kwenye computer au simu, alafu zinagoma kufunguka, yaani kila unaoibonyeza inakuletea maneno fulani sijui “file can’t open” sijui nini nani, you know hizo file ambao zimeka kama niaje👇

alafu baada ya kuweka hii unzipper ndo zinakaa namna🤔Good, karibu👍!  Haki sijui kama umeelewa hizo zipped files, but insha’Allah, 😀😁😂

Kwenye simu🤳 BONYEZA HAPA 
Computer💻 HAPA kisha bonyeza download, ikikataa rudi uchague either 64bit ama 32bit, infact ukibonyeza yenyewe itajua computer ni ya system ipi🤷‍♂️, wewe download tu👌!

WINRAR ikigoma kufungua,
njoo👉 HAPA 👈uweke winZIP!


Namna ya kufungua ISO files

Mara nyingi unakutana file za iso🙄, zile file zimeka kama CD/DVD hiivi🤔, ukijaribu kuifungua inakwambia “this ISO file can’t be blaa blaa”😆🤣😂 Sii unajua hizo file kama kwenye hizi picha👇?Bonyeza HAPA na ufate maelekezo yaliyopo kwenye video kuhusu namna ya ku install hiyi software ili uweze kufungua au kuchoma hata kwenye CD ukitaka🤷🏼‍♂️
www.5021.tips/ujanja/iso


Namna kupokea msaada kwa computer yako mtu akiwa mbali! 
BONYEZA HAPA