HOME

Ujanja ni bure🤔, kukiwepo gharama just 2 BEERS🍻

Bonyeza tu kwenye picha ya kuhusu huo ujanja👇

UNLOCK Toyota radio

Ukitoa battery ya gari au kuichokonowa chokonowa radio ki namna, itafika wakati unakuuliza neno siri au may be kama ulitoa nje memory card, inakwambia uingize card ama MAPCD ili iweze kufunguka🤷🏼‍♂️ ! Kuna usumbufu wa aina mbili either inakuuliza ERC code ama inakuambia kuweka memory au CD👌! Sasa ukikuuliza ERC code namna hii Fata haya maelekezo kwenye hii video, kiisha shuka chini uweze ku download hii software ya kupata ERC ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

🔑KEY CODING & DECODING software

Kwanza ukiweka aina ya gari, hii progrogram itakuonesha chip/EEPROM ya ku deal nayo! Tena, assuming kwamba unajua ujanja wa EEPROM, kusoma, ku save data, nk, ukitaka bonyeza hapa tuliekezana! Ukiweza kusoma data ya hiyo chip ama EEPROM ya funguo, unaweka tu hiyo data kwa hii program kiisha inafanya uchawi na kurudishiya data wa kuweka kwa hiyo. Sii unajua ama umesikia blaa blaa kuhusu sijui 'dampu' mara 'original data' vitu namna hiyo, ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

ECU PINOUT/CIRCUIT DIAGRAMS

Huu ni mukosanyo wa picha au vitabu (PDF) yakuonesha michoro pamoja na kazi ya vifaa (componets) izilyopo kwenye motherboard za ECU. Mfano; IC ama EEPROM ya injectors, au diode ya sensor fulani...nk! Alafu pia kuna ECU PINOUTS especially kama unafanya hizo kazi za ECU kuingia ndani ndani kwasababu kama hujui niaje, hautasadiwa na hii program🤷‍♂️! Hapa chini kuna video yenye maelekezo unaeza kuona namna ya kutumia pamoja na contents BUT ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

Misingi ya CAR KEY PROGRAMMING

Kwa kutaka kuzuia wizi, walifanya uchawi kwenye gari kwamba isipo kuwa funguo maalum ya hiyo gari maalum, hiyo gari haiwezi kuendeshwa. Kwenye funguo waliweka kadude fulani kanaitwa Transponder Sasa haka kadude namna tulivyoneshana kwa video, kuna neno siri ama PIN a.k.a password ambao lazima ifanane na ilyo kwenye gari. Isipo fanana gari haitawaka! So, kwa hii video tulijaribu kuoneshana namna hiizi blaa blaa zote zinafanya kazi Ina maana hiyo funguo ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

uchawi wa kutibu DPF/ADBLUE/IMMO/EGR

Assuming kwamba unajua ujanja wa EEPROM, kusoma, ku save data, nk, ukitaka bonyeza hapa https://youtu.be/TGbrQwNzlDY tuliekezana! Anyway, baada ya kutambua na kusoma data kutoka hiyo EEPROM ya funguo ama DPF ama whatever, hiyo data unaiingiza tu kwa hii program na ndani ya sekunde 0 sifuri, program inafanya uchawi kisha kurudishia data utakapoingiza /kurudisha/kunadika kwa hiyo EEPROM namna hii video inakuonesha! Na hii pia maana kuna zingine ukizikosa unazikuta huumu👇 Hizo ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

UNLOCK🔐 RENAULT RADIO

Jinsi unafahamu🤔, ukitoa battery ya gari au ukichokonowa chokonawa radio, itakuuliza neno la siri (password)🤷🏼‍♂️! SO kama hauna hii password, bhasi hiyo radio itakata kufanya kazi. Sasa hapa tunakupa ujanja wa namna kupata hiyo password namna tunaelezana kwenye hii video👇, kiisha ushuke chini uweze ku download hii software👩🏼‍🔧! Serial number mara nyigi unakuta nyuma ya hii radio baada ya kuifungua😎 RADIO ZINGINE BONYEZA HAPA #RENAULTcode #RENAULTrepairs #5021tips ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

RADIO UNLOCK CODES

Hapa tumeweka taka taka yoooote, as in tumeweka kila software ya kufungua almost kila aina ya radio! Uchawi ni either kuingiza tu SERIAL NUMBER, kiisha unapata unlock code🤷‍♂️! Ama kutoa, kusoma na kubadili data iliomo kwenye IC/EEPROM fulani kwa motherboard ya hiyo radio namna tulioelekezana kwa video au kwa PDF ilioko kwa hizo software! Hizi video ni mfano ya namna huo uchawi unavyotumika kufanya kazi😎 then after download below the ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

AUTO ELECTRONICS(summarized basics’ software)

Haka ka software kako na zile basics za OBD blaa blaa, ufanyaji kazi wa sensors, actuators, codes, nk! Picha/maneno mengi ya kitoto lakini huwezijua may be kanaweza kusaidia🤷‍♂️! Alafu kanafunguka tu kwa computer sio simu🙄! ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

KEY/ECU CODES (Ford, Mazda, Landrover, Jaguar, etc)

Kama unajua chakufanya BONYEZA HAPA uweze ku calculate hiyo code🤷‍♂️, sii unajua niaje🙄😎! otherwise soma haya maelekezo👇 👇 Ukitaka kufanya key programming ama ECU coding🙄, kuna badhi kubwa ya mashine zenye uwezo👌! Sasa sijui uko na mashine ipi, lakini wewe tafuta uchawi wako wote uweze kuingia kwenye menu ya programming/coding kwa PCM (Powertrain Control Module) au/na zile IPC ECUs kama ya PATS, BODY ECU, nk🤷🏼‍♂️! Mashine yenyewe itakutolea zile details ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

When where how why use CAPITAL LETTERS (herufi kubwa)

Herufi kubwa zinatumika sehemu nyigi kama, mwanzo mwa sentensi, majina ya watu, majina ya mahali, nk!  Ukitaka umbea wa ziada then check out this video👇  #capitalletters #punctuation #5021tips ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

VW/AUDI(resourceful website)

www.ross-tech.com has repair support forums, including diagnostic software, diagnostic procedures with videos! #ROSStech #VAG #5021tips ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

ENGINE SPEED vs VEHICLE SPEED

ENGINE SPEED inamanisha mwendo engine inazunguka (a.k.a RPM) alafu VEHICLE SPEED ni mwendo wa gari zima au tuseme muzunguko wa tayari although sio! Hizi sigina zinakuwa programmed tofauti tofauti as shown in this nonsense video! #RPM #VEHICLESPEED #5021tips ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

maana ya CANBUS

CAN BUS (CAN = Controller Area Network) alafu BUS ni kama basi la abiria munaingia wengi lakini kila anajua anaenda wapi kufanya nini! So, CAN ni muungano wa computer zote kwenye gari kwamba zinapeana msaada! mfano, computer ya SUSPENSION ikihitaji umbea kuhusu mwendo wa gari, itapata umbea huu kwa CAN juu computer ya ABS yenye speed sensor zinazochunguza mwendo wa gari itaweka signal hii kwenye CAN kuliko kwamba speed sensor ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

COMPUTER skills DISCUSSIONS👨‍🎓

Tunapata mada yoyote kulingana, kisha tunajadili (discuss) kikamilifu kwa njia ya kawaida mtu yeyote anaweza kuelewa ...na mazoezi pia! Hii sio jinsi shule za kawaida zinafundisha, but how the real world is🤔 so You use whatever You learn to solve real problems around You! COMPUTER ni kifaa cha elektroniki keyenye uwezo wa kupokea ujumbe na kufanya kazi kwa huo ujumbe kulingana maagizo🤔, kiisha kutoa/kuonesha matokeo! http://www.5021.tips/ujanja/kompyuta COMPUTER NETWORKING (introduction) Huu ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

Ujanja wa ENGLISHES👨‍🎓

Jinsi unafahamu lugha ya Kingereza unakutana nayo sehemu nyingi nyingi katika shuguli zako! So ukijifunza uchawi fulani wa matumizi, kuzungumza au kuhandika, inakuwa faida kubwa ili kuulaizisha shuguli zako🤷‍♂️! Kuna aina kama mbili ya Kingereza (Buisness English & Social English)! Social English ni blaa blaa kawaida ya mtani ya kuzungmza na mnajuana! Buisness English ni ile ya mambo kuwa serious kama ukitembelea ofisi ya mtu, inaekuwa mkutano, au kuongea/kuwandikiana kwa ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

AUTOMOTIVE ELECTRONICS (sensors, actuators, ECU,etc)

Kwa kutaka kuongeza nguvu za magari, bila kutumisa mafuta mengi, pamoja na bila kuharibu mazingira🤔, wataalamu waligundua namna ya kuchunguza mafuta na hewa inaoingia kwenye engine...pamoja na kuchunguza huo moshi unaotoka kwa engine🙄 ili husiharibu mazingira nje ya gari. So waliweka sensor za kuchunguza na kupeleka umbea kwenye control box (computer), alafu ndo computer iwaambie actuators kazi ya kufanya, kulingana🤷🏼‍♂️! Sasa, kwasababu engine ya gari inategemea mafuta na hewa ili ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

LANDCRUISER200 (maelekezo ufundi👨‍🔧)

Obviously, sii unajua kuna maelekezo jinsi ya kufungua, kufunga, kurekebisha, kufanya hiki na kile...pamoja na michoro ya wiring, picha zote😎! Iliaandaliwa na wataalamu wenyewe👌, so.....? Hebu tazama hii video uone niaje🙄, kiisha shuka chini uweze kui download! ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

uchawi wa MAGNETIC HALL EFFECT⚡

Nguvu za magineti👌 zikija karibu kwa wire au kifaa chechote kinachopitisha umeme na kwamba kuna umeme unaopita🤔kwa hiki kifaa, kuna uchawi funi utakaotokea kusababisha/kuzalisha umeme namna tulivyolekezana kwa hii video👇! Kwasabu kwa maneno sijui niekwelekezeaje na maneno gani🙄 aiiise! #MAGNETICHALLEFFECT #HALLeffect #5021tips ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

Namna kuingia ile aina intanet ya ficho (Deep/Dark Web)

Achana hii intanet ya kawaida kila mtu amezoea, kuna ile aina ya intanet (DEEP) amabo kama siri za serikali, benki, nk zinapitia🚒, pia kuna aina ya intanet (DARK) kwenye wanauza kama bunduki, vitambulisho fake, gari za wizi, nk! Ku browse hii aina ya intanet unahitaji ujanja fulani maana browser za kawaida kama mozila, chrome, nk haziwezi ku.....Na pia hauna aja ya kutembelea aina ya hiyo intanet maaana.....😎....chechote kinawezekana! May be ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

Kuhusu ESP (Electronic Stability Programme)

Electronic Stability Program (ESP) ama Electronic Stability Control (ESC), au tena Dynamic Stability Control (DSC), ni uchawi wa ku improve a computerised vehicle's stability by detecting and reducing loss of traction (skidding). ESP baada ya ku detect any loss of steering control, kuna namna it applies the brakes kuifanya gari irudi where the driver intends to go bila kupagawa namna tulijaribu kuelezea! #automotiveESP #VEHICLEDYNAMICS #5021tips ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

Umbea kuhusu TURBOs(diagnosis & how they work)

Nguvu za ule moshi unaotoka kwa engine unatumika kuzungusha aina ya kama pampu fulani hivi, na wakati wakuzunguka hii pump inanyonya au kuvuta hewa kutoka nje ya gari ili kuongeza kiasi cha hewa engine inahitaji kufanya kazi vizuri namna tulijaribu kueleza humu! Na pia kuna hizo pressure sensor, temperature sensor, nk🤷🏼‍♂️ ! #turbo #turbosupercharger #5021tips ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

Umbea kuhusu DPF (Diesel Particulate Filter)🚒

Jinsi unafahamu engine za diesel zinatoanga moshi kali wenye vichembe (particles)🚆, sasa kwa kutaka kuzuia hizi particles zisitoke nje ya gari kuharibu mazingira, kuna kidude fulani kinawekwa kwenye exhaust pipe ya gari ya diesel ili kushika hizi particles! Baada ya hizi particles kushikwa zinachoma mpaka kupotea namna tulijabu kumbushana! #DPF #ADblue #5021tips ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

AIRBAG SYSTEM (diagnostics & Repair)

AIRBAG system iko na sensa ya kuchunguza kutikisa, ina maana gari ikitikisa gafla kupita kiasi, hii sensa itapeleka umbea kwa ECU (control boxi) alafu ECU inapeleka moto (power) kwa defletor na kulipuwa AIRBAG  namna tulijaribu kuoneshana hapa👇pamoja  na chakufanya ili  kutoa/kuziima hiyo taa yaAIRBAG👨‍🔧 #airbagsystem #SRS #5021tips ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

VIRTUAL MACHINE (kuzalisha computer💻💻💻 nyingi ndani ya moja💻)

Uchawi wa VIRTUAL MACHINE ni kuzalisha computer nyigi ndani ya computer moja🖥! Mfano, uko na computer ya MAC wakati unataka kufanya kazi zinazohitaji computer ya Microsoft WINDOWS au may be tuseme computer yako ina WINDOWS 10 wakati lazima uwe na computer yenye WINDOWS 15, so kuliko kununua computer ingine what You do unatumisa huu uchawi wa VIRTUAL MACHINE🤷🏼‍♂️! See how it works, then download below👇 #virtualmachine #virtualwindows #5021tips ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

kubadili lugha kwenye VW/Audi/Skoda kwa VCDS

In this video we will show you how to change cluster display language for the VW Golf Mk4, Mk5, Bora, Jetta, Passat, Polo, Touran, Sharan, Skoda Octavia 1, Octavia 2, Fabia, Seat Leon, Cordoba, Ibiza, etc. using VCDS VAG COM. But to do that, you will need a VAG GOM (VCDS) tester and a laptop with VCDS software already installed. Then… #VCDS #VAG #5021tips ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

BMW (vitabu vya maelekezo ya ufundi kwa simu)

Kiliofanywa ni kuweka kwa website hii www.5021.tips/ujanja/allbmbooks namna ya blaa blaa zote hizo kuhusu vitabu vyenye maelekezo ya ufundi wa gari za BMW ili kwamba hata ukiwa kwenye simu au computer popote ulipo unapata kila🤷🏼‍♂️! So namna tunaelekezana katika hii video, this how you can access these manuals👇! Lakini kama unauhakika utaweza kuitumia hii website bila kuangalia hii video, then BONYEZA HAPA uendelee🤷🏼‍♂️! #bmwservicemanual #bmwrepairmanuals #5021tips ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

KUSOMA CIRCUIT/wiring DIAGRAMS(michoro)

Ukitazama mchoro ya wiring zinatisha🤔, lakini ukishaelewa misingi kadhaa utaona ni rahisi sana🤷🏼‍♂️! Aanza kujua maana ya alama zilizomo, then componet au kafa gani unafatilia, kinafanyaje kazi na kupata wapi au vipi umeme👩🏼‍🔧....then uendelee na blaa blaa za wire, nk!  Kwenye hii video tulijaribu kuoneshana kila🙏🏼 #readingwiringdiagrams #electricaldiagrams #5021tips ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

GARAGE DATABASE MANAGER

Hii software itakusaidia kuhifadhi kumbukumbu kuhusu wateja pamoja na kuhusu gari zao. As in, jina la mteja, namba zake za simu, ofisi au nyumbani kwake, nk. Alafu kuhusu gari🤔? Namba ya gari, jina la gari, picha ya gari, hiyo gari imewahi kutengenezwa hapo mara ngapi? Mfanya kazi👨‍🔧 gani alihusika kwa huo utengenezaji, pesa ngapi iliitishwa au je mwenye gari ali lipa ngapi kwa hiyo kazi🤔. Je, picha ilipigwa? Aiiise, kila ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

Maana ya maandishi kwenye mitungi🧴 ya oil

Watu wengi wamebadilisha mafuta (OIL) ya gari lao wenyewe au wamepeleka gari kwa garage kwa wataalamu! Sasa, kipengele muhimu kuhusu blaa blaa ya mafuta (OIL) ni kuchagua aina ya OIL sahihi pamoja na right quantity🤔! I swear, unahitaji kuzingatia nambari zilizo kwenye lebo ya mafuta (OIL) ya gari. Unaweza kuona kitu kama "10W30" au "5W20" na ukashangaa wanamaanisha nini hiki😁😂🤣😃😄😅. #oilspecifications #engineoil #5021tips SHOW LESS ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

ujanja wa Virtual Private Server (VPS)

A Virtual Private Server (VPS) uses virtualization software to partition physical servers into multiple "virtual" servers—each having the ability to run its own operating system and applications. VPS is not for everyone, but is quickly becoming the hosting preference of choice for advanced Web developers who require root access to the server to run their own software. #VPS   #VPN  #5021tips ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

Throttle Body Alignment (TBA) for VAG vehicles, VW, AUDI, SKODA, etc..

Free vehicle support at http://forums.ross-tech.com This video (in Swahili language) shows how to perform the Throttle Body Alignment on VW, Audi, Seat, Skoda and Bentley vehicles. http://wiki.ross-tech.com/wiki/index.... #ROSStech #VCDS #5021tips ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

LANDROVER LR4 (maelekezo ya ufundi)

Sii unajua kuna maelekezo jinsi ya kufungua, kufunga, kurekebisha, ku fanya hiki na kile...pamoja na michoro ya wiring, picha zote😎! Iliaandaliwa na wataalamu wenyewe👌, so.....? Hebu tazama hii video uone niaje🙄, kiisha shuka chini uweze kui download! ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

LANDCRUISER 150 (maelekezo ya ufundi)

Sii unajua kuna maelekezo jinsi ya kufungua, kufunga, kurekebisha, ku fanya hiki na kile...pamoja na michoro ya wiring, picha zote😎! Iliaandaliwa na wataalamu wenyewe👌, so.....? Hebu tazama hii video uone niaje🙄, kiisha shuka chini uweze kui download! ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

STARFINDER inafunguka hata kwenye simu popote ulipo🤷🏼‍♂️

Tumetumia data, muda wetu na gharama zingine👌! Aiiise, aacha hizo! Tuchangie ko 🍻beer mbili ama Soda, ndo upewe password🙏🏼! Ongea na mhudumu hapo, ama EMAIL👉 ujanja@5021.tips 👈hata even whatsApp +250 785 821842 fasta fasta🤳! Ukipewa password ndo uingize hapa👇 chini! Password: ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

Ujanja kubadili OBD cable yoyote iweze kutumia dealer software wa TOYOTA👨‍🔧

Namana tumeelekezana katika hii video, cable yeyote inaeza kufanya hizo kazi kufanya diagnosis ya kitaalamu👩🏼‍🔧 kwenye gari za TOYOTA! Download hii software ili muradi umeweza kubadili cable kwenye PINOUT ya protocol za TOYOTA! Ukishindwa piga picha ili tuelekezane namna ya cha kufanya👌! ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

NISSAN NAVARA(maelekezo ya ufundi)

Sii unajua kuna maelekezo jinsi ya kufungua, kufunga, kurekebisha, ku fanya hiki na kile...pamoja na michoro ya wiring, picha zote😎! Iliaandaliwa na wataalamu wenyewe👌, so.....? Hebu tazama hii video uone niaje🙄, kiisha shuka chini uweze kui download! ONYO📢 Ukimaliza ku download, hii manual ni ISO (kama CD hiivi) so unahitaji software hii HAPA ya kufungua file za ISO ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

Namna ya kufungua ISO files

Mara nyingi unakutana file za iso🙄, zile file zimeka kama CD/DVD hiivi🤔, ukijaribu kuifungua inakwambia "this ISO file can't be blaa blaa"😆🤣😂 Sii unajua hizo file kama kwenye hizi picha👇? Fata haya maelekezo kwenye hii video kuhusu namna ya ku install hii software ili uweze kufungua au kuchoma hata kwenye CD ukitaka🤷🏼‍♂️ ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

BENZ STARFINDER🕵️‍♀️

BENZ kuna vi code code wanaotumia vya kumanisha kitu gani kwenye gari🤷🏼‍♂️! Mfano, kumanisha fuel pump wanweza kuweka code FP17/QU so kama hujui FP17/QU inamanisha kitu gani na kiko wapi🙄, unakwamma tu! So ndo maana tumekuwekea hii softwae ikusaidie niaje👌 Ukihitaka kama kwenye simu ama tuseme iwe mobile kwamba popote unakuanga unaipata BONYEZA HAPA  ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

Namna kupokea msaada kwa computer yako mtu akiwa mbali

Unaeza kuwa unataka kufanya kitu fulani kwenye computer💻 lakini🙄 hujui niaje. Mwenzako amekwelezea namna ya chakufanya, lakini baado unaona ni ngumu😥! Sasa kuna uchawi mtu anaweza kuingia kwenye computer💻 yako na akafanya kila kitu akiwa mbali🤷🏼‍♂️(mf., Wewe uko Juba yeye yuko Mogadishu, ama wewe uko Bujumbura umekwama na computer yako, yeye yuko Paris anaiingia kufanya kazi kwa computer yako ilio hapo Bujumbura) Bonyeza hapa uweze ku download (ukiwa kwenye hiyo ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

BENZ DIAGNOSIS PASSWORDS

Unaweza kuwa unafanya diagnosis kwenye magari za BENZ zote, ndogo na kubwa lorry kama Actross, kwa kutaka kufanya yale mambo advanced kama key programming, ECU blaa blaa, kushusha milleage, etc, na unaitiishwa password namna hii🤷🏼‍♂️like ukitaka kufanya ECU programming Au ukitaka kufanya zileSo baada ya kuweka password ndo inafunguka namna hiii👇Infact ukitaka kuona zaidi au namna ya kutumisa hii software uweze kupata hizo password, watch this video then download hapo ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

Uchawi wa PIEZOELECTRIC EFFECT

Huu uchawi wa PIZOELECTRIC EFFECT ni kwamba, ukigonga au kukandamiza kitu kiliotengenezwa kwa ile kemikali ya crystal blaa blaa😂🤣😁, hicho kitu kinaweza kuzaa umeme. TENA ukipitisha umeme katika hicho kitu, kitatemeka (to vibrate/shake or move)! So ni vice versa namna tulijaribu kuoneshana kwenye hii video🤷🏼‍♂️ ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

KUBADILI ODOMETER(Nissan)

Kama umepata ule ujanja wa kuchezea EEPROM am IC/chip🙄, kama bado bonyeza HAPA ujue niaje, but assuming kama tayari unajua hizo blaa blaa za EEPROM unafungua tu clustter ya Nissan alafu unatafuta EEPROM inaohifadhi data za mileage ambao mara nyigi ni 93C56 au 93C66 au ukikosa muulize mhudumu aina ya gari ili akumbushe. Anyway ukiweka milleage, yaani digits unazotaka KM ioneshe unaziweka tu kwa hii software alafu inakwambia chakufanya na ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

Kitabu kufundisha KEY PROGRAMMING

Jinsi hii video inakuonesha, hiki kitabu kina namna ya ku program funguo za gari, mashine gani yakutumia, vifa gani vya kufungua/kufunga kwenye gari, nk! Yaani unapata almost kila umbea mhimu👌! HAPA KUNA MASOMO kuhusu immobiliser systems, bonyeza tu👨🏼‍🎓 ONYO🚨>> Technologia inabadilika kila sekunde, so ukiona mashine fulani ndo ilitumika, usikulupuke kununua hiyo mashine unaezakuta kuna mashine ingine mpya/bora! Hiki kitabu kikusadie tu kutoa mwanga kwa macho yako, nenda ufanye research ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

EEPROM work (kusoma, kubadili, kuandika data)

Kuna kazi nyingi unaweza kufanya kwa kujua kuchezea data inakuanga humu kwenye chip au EEPROM (Electronically Erasable Programmable Read Only Memory)! Sasa kwenye hii video tulikumbushana au kuoneshana kuhusu data inakuanga humu, inakaje? unahisomaje? Unahielewaje?🤷🏼‍♂️ hizo blaa blaa binary, HEX, address, nk! Video ni ndefu na kuna maneno mengi🙄 ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

IMMO EEPROM/Transponder details

Tayari ulijua kwamba kwenye immobiliser system ya gari, code/password moja inakuwa kwenye chip/EEPROM fulani ndani ya immo box ama Control box, na upande wa funguo hii code/password inawekwa kwenye transponder🙄! (Kama hukupitia hapa kuelewa niaje, tafadhali bonyeza hapa ujue niaje vinginevyo hautona maana ya huu ujanja) Tena tulijua kwamba funguo ikipotea unaweza kupata code/passsword kutoka hiyo EEPROM ili ukatumbukize kwenye funguo ingine ndo gari iwake, au pia kama control boxi ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌

NISSAN KEY PROGRAMMING SECRET CODES

NATS inamanisha Nissan Anti-Theft System,  yaaani ni kuhusu ule uchawi uliko kwenye gari za NISSAN kwamba usipotumia funguo🔑 sahihi, gari haiwezi kuwaka👌! Sawa, funguo inaeza kuwa sahihi lakini ukibadilisha tuseme computer ya engine (ECU) au computer ya body (BCM) au anything could have happened kwamba lazima ukutaanishe (ku initialize) vifaa vyote kwenye hii NATS🤔! Sasa wakati unafanya initialization ukiwa na mashine yeyote ya diagnosis👨‍🔧, kutafika wakati unahitaji neno siri (password) ...
Kuendelea, boyeza tu hapa👌