APP sensor (Accelerator Pedal Position Sensor)

Accelator Position Sensor, au ‘sensa’ ya kanyagio cha kuongeza kasi ya gari, namna jina ilivyo, inapeleka umbea kuhusu kiwango dereva amakanyaga ki kanyagio, kwenda kwenye kompyuta ya gari!

Sasa, kulingana na habari hii, kompyuta itajua niaje kuhusu kiasi cha mafuta cha mafuta uachiliwa kuchomwa, obviously na kiasi gani cha hewa ile throttle iwachilie!
Sensoryenyewe ipo hapo, juu ya kanyagio!


Moduli ya kanyagio inaweza kuundwa kwa uchawi wa, potentiometer au wa Magnetic Hall Effect, kulingana, au namna hii video itakuonesha ndani zaidi!

Namna yeyote, lakini Sensor hii inasajili fasta fasta harakati na msimamo wa kanyagio cha kuongeza kasi.


May be ukitaka ‘kulewa’ zaidi sana kuhusu huo uchawi wa Magnetic Hall Effect, bonyeza tu HAPA au kwenye hii picha chini!

Jinsi umeelewa, au kukumbuka, hii sensor inapeleka umbea kwenye kompyuta ya gari, alafu kompyuta inamuambia Throtle kiasi ya kufunguka, obviously na blaa bla zingine kwenye CAN, kiasi cha mafuta kinachohitajika, kulingana…
Na sababu kwanini zinakuanga sensor mbili ndani ya moja, au?

Sawa, jinsi tumejua kompyuta au ECU inatuma umeme 5V kuzungukia kwenye kila moja ya hizi sensor nani ya APP sensor, na juu ya huo uchawi wa  Hall Effect au Variable Resistance, kulingana kiasi ya mzunguko ata resistance itabadilika!
Sasa, wakati unapima, ukiona waya 6, lazima upate 5V mbili, ground au negative mbili, na siginal ….mbi?

 

TRANSISTORS (class on hold)

Kama tayari ushatoa chupa🍻 zetu bonyeza👉 kuLogin (kuingia)👈 OTHERWISE kutujulisha namna au ngapi au wapi tutatizipata👉 bonyeza hapa hapa👈

AUTO DIAGNOSIS special PROCEDURES & SOFTWARES

Unaeza kuwa una hiyo diagnosis mashine, but kunachangamoto unapata🤔!
May be matumizi ya namna kufanya utundu fulani wa kitaalamu, au  inaeza kuwa mashine ina tatizo imekushinda kurekebisha, au, meeeeeen, could be any problem🤷‍♂️!
So tunaweka hapa kila taka taka tunakutanayo zinasumbua watumizi mbali mbali🙄!

Tunawekanga namna ya kupata software za mashine, au ukitaka ku update au downdate au kuharibu mashine tunakuonesha unafanyaje🤷‍♂️!
Ukitaka password za ku login mtandaoni (cloud diagnosis) zote ata DOip tunawezasaidiana👌!




GROUND, NEUTRAL, EARTH, connections explained

Hata kama EARTH na GROUND ni kama kitu kimoja, lakini ni tofauti!
Kwa kingereza ya Merikani wanasema GROUND, alafu kwa Kingereza ya Ulaya(Europe) ni EARTH, so sometimes maana inakuwa confused!
So is why we tried to explain the difference in this video


HOW TO RESET CHANGE ENGINE OIL SOON WARNING

Hizi gari za siku hizi zina uchawi wa kumbusha kufanya service ya gari muda ukifika!
So ukimaliza kufanya service lazima au bora uzime hiyo taa, so hizi procedures ziweza kusaidiya!

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [964.43 KB]