ufafanuzi wa MANENO fulani ya kitaalam

Hapa tunajaribu kufafananua au kuelezeana maana ya maneno fulani ya kitaalam👌, ambao tunatumia katika maisha yetu ya kila siku, bila kujua maana🤔!
So, HAPA UJANJA tu👨‍🎓

Kuhusu ESP (Electronic Stability Programme)

Electronic Stability Program (ESP) ama Electronic Stability Control (ESC), au tena Dynamic Stability Control (DSC), ni uchawi wa ku improve a computerised vehicle's stability by detecting and reducing loss of ...
bonyeza hapa uelewa zaidi

maana ya CANBUS

CAN BUS (CAN = Controller Area Network) alafu BUS ni kama basi la abiria munaingia wengi lakini kila anajua anaenda wapi kufanya nini! So, CAN ni muungano wa computer zote ...
bonyeza hapa uelewa zaidi

uchawi wa MAGNETIC HALL EFFECT⚡

Nguvu za magineti👌 zikija karibu kwa wire au kifaa chechote kinachopitisha umeme na kwamba kuna umeme unaopita🤔kwa hiki kifaa, kuna uchawi funi utakaotokea kusababisha/kuzalisha umeme namna tulivyolekezana kwa hii video👇! ...
bonyeza hapa uelewa zaidi

Uchawi wa PIEZOELECTRIC EFFECT

Huu uchawi wa PIZOELECTRIC EFFECT ni kwamba, ukigonga au kukandamiza kitu kiliotengenezwa kwa ile kemikali ya crystal blaa blaa😂🤣😁, hicho kitu kinaweza kuzaa umeme. TENA ukipitisha umeme katika hicho kitu, ...
bonyeza hapa uelewa zaidi

ujanja wa Virtual Private Server (VPS)

A Virtual Private Server (VPS) uses virtualization software to partition physical servers into multiple "virtual" servers—each having the ability to run its own operating system and applications. VPS is not ...
bonyeza hapa uelewa zaidi

Umbea kuhusu DPF (Diesel Particulate Filter)🚒

Jinsi unafahamu engine za diesel zinatoanga moshi kali wenye vichembe (particles)🚆, sasa kwa kutaka kuzuia hizi particles zisitoke nje ya gari kuharibu mazingira, kuna kidude fulani kinawekwa kwenye exhaust pipe ...
bonyeza hapa uelewa zaidi

Umbea kuhusu TURBOs(diagnosis & how they work)

Nguvu za ule moshi unaotoka kwa engine unatumika kuzungusha aina ya kama pampu fulani hivi, na wakati wakuzunguka hii pump inanyonya au kuvuta hewa kutoka nje ya gari ili kuongeza ...
bonyeza hapa uelewa zaidi