Kuhusu hizi🤔 mifumo ya PNEUMATIC na HYDRAULIC, ok,
…kwanza, kusoma maandishi, maneno mengi kunaweza kuchosha,
…na sio kutia moyo, unapojifunza kitu, au kukumbuka ulichojua tayari!
Ukitaka, video👇 tumeweka chini!
Maandishi haya ni muhtasari tu, wa mambo muhimu!
Naamini umeona baadhi ya vifaa👇 hivi, vinavyofanya kazi, kiwandani, maeneo ya ujenzi, au haya magari makubwa yanayotumika kufanya kazi maalum!
👇

☝
Picha hizo hapo juu, baadhi ya mashine ni za Pneumatics, na Hydraulics!
Unaona, jinsi mashine zote zina sehemu ya silinda, cylinder, kama namna hii👇
Ndani, kuna mkono, ambao unahitaji kutembea kutoka Y hadi X na, X hadi Y, kulingana, ili kazi iweze kufanywa na mashine hiyo!
Kusukuma, kufanya mkono huu kutembea, unaweza kumwaga ndani, kwa mfano, maji, au hewa, au mafuta yoyote, au kemikali fulani maalum, mradi tu inaweza kufanya kusukuma na au kuvuta mkono huo!
Kuna mathara, kulingana na kile kilichoingizwa kuweza kusukuma au kuvuuta huo mkono kutembea!
Unaweza kutumia kitu solid A, kama poda, unga, nk😜!
Kitu kioevu Liquid, B, kama maji, mafuta, oili, kikitumiwa, sasa huo ni uchawi wa HYDROLICS
Alafu, kitu gesi gas, C, kama hewa ya kawaida, kikitumiwa, huo ni uchawi wa PNEUMATICS!
Inaweza kuwa maji au hewa au mafuta, kutumiwa kusukuma au kuvuuta mkono uliopo D!
Siri ya HYDRAULICS na PNEUMATICS, ni kuelewa mfumo wa jinsi, hiyo hewa au oili kuhifadhiwa,
…pamoja na maelezo ya chochote kinachohusika katika njia ambayo hiyo hewa au oli huchukua kutoka A hadi D, na vinginevyo kurudi au kupotezwa, ukiwa mfumo ni wa hewa!
PNEUMATICS
(Bonyeza HAPA kwa ujanja wa HYDRAULICS)
Mifano ya mifumo za Pneumatics😎!


…setup, ama usanidi configuration kwa jumla, wa vifaa vinavyopatikana kwenye mfumo wa PNEUMATICS
👇
Hapa👇 uchawi wa PNEUMATICS ni mfumo wa Gas, C!
Inaweza kuwa hewa ya kawaida, ama aina fulani nyingine ya aina ya gesi!
Ujue tu kwamba pneumatics inashughulika na kitu ambacho chembe chembe zake zimetengana sana!
…ikilinganishwa na Liquid B, ya kwenye hydraulics, ambayo chembe chembe zake zinakaribiana!
Reservoir Tank
…mahali fulani pa kuweka hewa itakayotumika kusukuma mkono ndani ya silinda, ili kufanya kazi kwa ?Z
Wakati unashughulika na mifumo hizi za Pneumatics, tenki iweke akilini kila wakati, juu ni chanzo cha nguvu, nishati hiyo ambayo husaidia mfumo kufanya kazi!
Air Pump, Air compressor
…kusaidia kuvuta hewa kutoka mahali popote nje, kisha kuisukuma hewa, yaani, kuipatia nguvu kwenda kutembeza ule mkono uliopo ndani ya silinda!
Mara nyingi ni hewa ya kawaida,
isipokuwa kama mfumo unatumia aina maalum ya gesi!
Kumbuka, kuna aina nyingi tofauti za pampu, kila moja inaonekana tofauti, na inaeza kuwekwa popote kulingana na mashine ambapo inafanya kazi!
Akilini mwako, weka tu pampu ili uikumbuke unaposhughulika na mifumo ya nyumatiki

Kumbuka, mashine yoyote unayoshughulika nayo, inaweza kuwa na pampu zaidi ya moja!
Je, unafahamu ujanja kuhusiana hizi heavy duty pumps?
click 👉 HAPA UJANJA tu!
Air Filter
….kuondoa uchafu kwenye hiyo hewa imevutwa, kabla ya kuingia ndani ya tanki,
…au hata ikiwa mfumo huo hautumii tanki, inahitajika hewa safi!
Usichukulie kuwa kawaida, rahisi!
Kuwa mwangalifu kwasababu mifumo mingine ya Air Filter za kusafisha hewa, inaweza kuwa na vifaa vidogo vya umeme, vilivyofichwa ndani!
Tena🤷♀️, ukibonyeza HAPA, kuna ujanja wa namna kuchunguza, kupima Air Filter electronics, pamoja na sensors wenzake wengine wote, click HERE!
Q) Temperature, and or, Pressure Sensor
…ili kufuatilia, pressa, au halijoto ya hewa hiyo ambayo imesukumwa na pampu!
”
Temperature NA Pressure kuna namna, jinsi viangaliana, ndo maana sehemu kwenye kupima joto ama pressa, unaeza kuta kuna sensor za vipimo vyote viwili, ama moja yao!
“
Kwenye baadhi ya mifumo, kuwa tayari kupata kitu cha kupima pressa, au halijoto ya hewa hiyo ambayo imesukumwa na pampu🤷♀️!
…vinaezakuwa hivi mita vya kawaida
Mifumo mingine inaweza kutumia vitambuzi, yaani sensors, ili kutuma taarifa kwa kompyuta, ECU, kisha kompyuta kutuma data kwenye skrini dashboard ili kuonyesha
Ni simple🤔, kuwa tu na wazo katika akili yako, kwamba wakati wa kushughulika na mifumo hii ya Pneumatics, kuna kitambuzi, sensor au mita ya kuripoti pressa, na au, halijoto ya hiyo hewa inaozunguka kwenye mfumo!

Tena🤷♀️, ukibonyeza HAPA, kuna ujanja wa namna kuchunguza, kupima Pressure Sensor, Temperature Sensor, pamoja na sensors wenzake wengine wote, click HERE!


FRL (Filter, Relief-Valve, Lubricator)

Ni mfumo, kuboresha zaidi, hiyo hewa inatokea kwa tenki!
FRL filter F
Pamoja na kutoa uchafu, inatoa na maji!
Pressa inaeza kugeuza hewa kuwa maji!

Ndani kuna kifaa kinaitwa Air Drier, kufanya uchawi wa kutoa maji!
Kulingana na hali ya Pneumatics unayoshughulika nayo, ujue tu kuna iki ki drier, mahali fulani, just think bigger 😁😂🤣

Kwenye mifumo mingine, hii filter ya kwanza inaekuwa ndo peke yake!

Relief valve, R
….husaidia kudumisha, ku control, pressa ya hewa, kubaki ndani ya vipimo sahihi kama inavyotakiwa na mfumo!


….pressa ikzidi, ikiwa kubwa, baadhi ya hewa itaachiliwa nje.
Alafu, mfumo unalingana vifaa vilivyotumiwa…
…vingine vinaeza kuwa hivi vya kawaida!
Pressure ikizidi inasukuma Y kufunga na kufungua njiazingine
Ndiyo, hiyo Relief valve inaeza kuwa hizi za kawaida!

Inaeza kuwa Valve ya umeme yenye solenoid inashugulikiwa na control unit, kompyuta, ECU!

Je, unafahamu ujanja kuhusiana hizi SOLENOID’s?
click 👉 HAPA UJANJA tu!
Lubricator, L
….ya kupuliza oil kwenye hewa!
Ok, ili kuzuia hewa isikwaruze friction na mabomba, kupuliza ka oili chache kwenye hewa kunasaidia🤔!

…hewa inapotembea, inavuta matone fulani ya mafuta, oili, Y
X 👇ndo inaoleta hiyo oili!

Valves’ Body,
…ambapo hewa imefika, na kwa pressa ya juu!
Hapa sasa ndipo hewa inapoelekezwa mahali pa kwenda, silinda ya kwenda, ili kusukuma au kuvuta ule mkono tulioanza nao, mwanzoni ya huu ujinga!
Kwa mfano, kuweza kusukuma mkono kutoka Y kwenda X, lazima mlango 1 ifunguliwe!
Obviously kutoka X kurudi Y mlango 2 lazima ufunguliwe

ONYO🧷
Ninatumia picha hii na zingine, kwa mfano tu! haimaanishi kifaa unachoona kwenye picha kinatumia hewa au mafuta!
After all, hata kama hydraulics au pneumatics, jinsi zinavyofanya kazi ni sawa, ya kufanana, tofauti pekee ni kwamba, mmoja Hydraulics anatumia mafuta au maji, mwingine Pneumatics anatumia hewa.
Sasa, nadhani una imagine D inavyovutwa au kusukumwa🤔?
Hiyo valve body imekaa namna 👇

Controllers
…ili kufungua njia ya 1 au 2,

Unaezatumia gears za kawaida…

…ama buttons,

…kufungua valve ya umeme yenye solenoid inashugulikiwa na control unit, kompyuta, ECU!

Je, unafahamu ujanja kuhusiana hizi SOLENOID’s?
click 👉 HAPA UJANJA tu!
?Z
…ni chechote🤷♂️ kitafungua kwenye huo mkono⚓!