KOZI (serial serious studies)

Hapa, bila mpangilio tunachagua ujanja👨‍🎓 au skill fulani ya kujifunza, but kwa mpangilio🤣!

Tunaenda pole pole kwa uhakika wa kugusa kila sehemu mhimu kwa hiyo skill au tuseme ujuzi!
Ukijihisi bonge la mtaalamu, usijisumbue🤷‍♀️!
Hakuna cheti wala mitiani wala mtu yeyote kuongoza, ni wewe tu kwa uamuzi wako kujikinga (manage yourself) uweze kufaidika🤷‍♂️!

Na, insha’Allah🤞, ukifaidikia, usisahau kutupatia just2DRINKS🍻

HAPA UJANJA tu👨‍🎓

(Bonyeza kwenye picha au maandisha)
👇




Translate /Tafsir /Traduire