ku reset AIR BAG service

Ikiwa gari lilikuwa ajali, mgongano, au iligonga tu kama shimo na taa ya airbag ikawashwa, basi, kompyuta moduli ya airbag itahitaji kuwekwa upya.
Mfumo wa Air bag na kompyuta zake vimeundwa kufanya kazi mara moja tu.

Ukitaka upumbavu zaidi kuhusu mifumo ya AIRBAG bonyeza HAPA
ย 

Huu uchawi utakusaidia kufuuta data ya ajali iliyopo kwenye system ili iweze kutumika tena bila kubadili ingine mpya!
Ikiwa mifuko ya hewa imetoka, hapo inahitaji kubadilishwa na mifuko ya hewa ambayo haijatoka ECU inaeza kurekebishwa na kuondolewa data chafu yote ya na ikafanya kazi vizuri!
Ikiwa haujapata ajali na kwa sababu fulani, gari lako linaonyesha kosa la mfumo wa airbag, basi hii inaweza kuwa kosa la kitengo cha udhibiti wa airbag ndani.

Hebu watch this video, ukitaka๐Ÿคทโ€โ™€๏ธ

DOWNLOAD
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

HERE HAPA

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†
๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†

 


kuziima AIRBAG WARNING LIGHT

Ajali ikitokea, kompyuta iliopo kwenye itahifadhi kumbukumbu hili, pamoja na kuasha taa fulani kwamba ata ukiweka diagnosis mashine ili kuizima hiyo taa ya AIRBAG, haiwezekani!
Sasa, huu uchawi wa kuzima au ku reset Airbag kufanya kompyuta isahau chechote, yaaani idanganye kwamba gari ni forever new!
Sometimes, ata gari ikitetemeka/kutikisa ghafla like kama as if imepata ajali hivi, like if U hit a pot hole, alafu taa ya AIRBAG ama SRS inabaki inawaka bila kuzima, kumanisha lazima ubadili vifaa fulani!
Hata ukiweka Diagnosis mashine, waaapi!

Sasa ndo huu uchawi tunakupa saa hii!

Bonyeza HAPA tuliokumbushana kuhusu namna AIR BAG wiring systems,ย  ma sensor husika, nk!
Pamoja na jinsi kuizima ikiwaka tu bila ajali wala kugonga kitu!

So huu uchawi unakuwezeshaย  kuzima hiyo taa ya AIRBAG bila kubadilisha vifaa (spare parts) ….namna tulijaribu kuoneshana kwenye hii video hapa chini๐Ÿ‘‡!
Kiisha shuka chini ya video uweze ku download๐Ÿป!

DOWNLOAD
๐Ÿ‘‡

Click HERE

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†

๐Ÿ‘†

 

 


AIRBAG (SRS) SYSTEM’s (Diagnostics, Restore or & Repair Tips)

AIRBAG system iko na sensa ya kuchunguza kutikisa, ina maaana gari ikitikisa gafla kupiita kiasi isio ya kawaida, hii sensor ‘sensa’ itapeleka umbea chap kwenda kwa ECU (control boxi)!
Sasa, ECU ikipata ujumbe, kulingana, itapeleka moto (power) kwa defletor na kulipuwa AIRBAGย  namna tulijaribu kuoneshana hapa๐Ÿ‘‡pamojaย  na chakufanya iliย  kutoa/kuziima hiyo taa ya AIRBAG๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ”ง


Ajali ikitokea, kompyuta itahifadhi kumbukumbu hili, kwamba ata ukiweka diagnosis mashine ili kuzima taa ya AIRBAG haiwezekani!

Sasa ukibonyeza HAPAย  kuna ka uchawi ka kuzima au ku reset Airbag kufanya kompyuta isahau chechote, yaaani idanganye kwamba gari ni forever new!


Kuzima AIR BAG bila mashine, kulingana especially kama gari hapana kupata ajali๐Ÿ‘‡


 

 

 


Translate /Tafsir /Traduire