- Version
- Download 441577
- File Size 20MB
- Create Date February 20, 2021
- BONYEZA HAP KU DONLOAD
Tulijaribu kuelekezana kuhusu data ya kwenye IC/EEPROM/CHIP, as in, namna ya kusoma, edit, delete, copy, nk hizo EEPROM data! Kama bado hujapitia, na unataka kupata idea ya niaje hizo blaa blaa, then bonyeza hapa๐ www.5021.tips/ujanja/eepromwork ๐
Sasa unaeza kuwa huna mashine yeyote ya hizo EEPROM na kweli unataka kufanya mazoezi๐คทโโ๏ธ!ย So what we have done, ni kuwekea hapa software inasoma hizo data, pamoja na mfano ya hizo EEPROM data ili ufanye mazoezi ku edit, delete, blaaa blaaa, you know?