Resistors, yaaani Rizisita, zinazuia mtiririko wa umeme!
Uzuiaji huu unaweza kuja na manufaa katika hali nyingi, especially katika vifaa vya umeme!
Hizi 👇video inaelekezea kila kitu, kuanzia kwa jinsi hizi rizisita hizi zinavyofanya kazi, jinsi au wapi zinatumiwa, ikiwa ni pamoja na jinsi zinazyopangwa na kupimwa kukiwepo matatizo yoyote!
SMD resistors ni kama resistor za kawaida🤷♀️!
Utofauti ni kwamba ziko ndogo mno👇
LDR (Light Dependent Resistor) ni kutegemea mwanga🤔
Namna RESISTOR zinafanya kazi ZOOOOOTE
Jinsi umeona, kila rangi iliopo kwenye resistor ina maana!

👇👇👇👇
👆
ku caliculate hizo color codes!
👆👆👆👆👆👆