Mfumo wa STEERING ANGLE SENSORย unaunganisha mifumo mingine ya gari!
Kunaweza kuwa na sababu nyingi sana zinazosababisha mfumo huu kuripotiwa kuwa mbovu๐ค,
….ikiwa ni pamoja na wheel alighnment mbaya, au kubadilisha kipengele, yaani spare part fulani bila kuisajili spare part kwenye kompyuta ECU ya gari, au hata kuisha muda wake na kuhitaji kipya zaidi๐คทโโ๏ธ!
Hivi ndivyo unavyoweza kuponya tatizo hili, ikiwa unahitaji data ili kuiweka upya, nenda chini ya video ili kupakua!DOWNLOAD
๐
click
HERE
๐๐
๐