Kwanza, assuming kwamba unajua ujanja wa EEPROM, kusoma, ku save data, nk, ukitaka bonyeza👇
HAPA
www.5021.tips/ujanja/eepromwork
👆tuliekezana!
Anyway, baada ya kutambua na kusoma data kutoka hiyo EEPROM ya funguo ama Flash za DPF ama whatever, hiyo data unaiingiza tu kwa hii program na ndani ya sekunde 0 sifuri, program inafanya uchawi🤷♀️!
Kisha kurudishia data utakapoingiza /kurudisha/kunadika kwenye hiyo EEPROM namna hii video inakuonesha!
Na hii pia maana kuna zingine ukizikosa unazikuta huumu👇
DOWNLOAD
👇
BOYEZA HERE
👆👆👆
Hizo za funguo bonyeza hapa hapa ujue namna ya matumizi🤷♂️!