Hapa ndo tunakusanyia takataka kuhusu mifumo ya magari 🚚makuubwa, na hatufuati mpangilio maalum, everything is just disorganised, insha’Allah whatever You find useful, HAPA UJANJA tu🤷♂️
Mara BUS🚌, EXCAVATOR🚂, mara SEMI🚚, this that, so hakikisha una muda wa kuharibu🤷♂️!
This nonsense, videos, softwares, books, etc, are with clear step-by-step instructions, diagrams & pictures, providing detailed instructions and guidance from as simple as on how to disassemble, diagnose problems, and reassemble every about these vehicles!
Sh*t could include component diagrams, wiring schematics for each part, component locations, repair procedures, and proper torque settings, ensuring efficient and accurate repairs & Diagnostics!
Because it explains the intricate workings of all the systems, it provides a deeper understanding of how different components interact.
Insha’Allah, may this nonsense help You technicians (and or owners) to stay current with the technologies, how it works, how its maintained, and repair techniques, ensuring You’re a mjanja😎 to extend the useful life of whatever vehicle, machine, equipment, seen🤔?
HAPA UJANJA tu👌
HYDRAULICS & PNEUMATICS
Inaweza kuwa maji au hewa au mafuta, kutumiwa kusukuma au kuvuuta mkono uliopo D 👇!
Siri ya HYDRAULICS na PNEUMATICS, ni kuelewa mfumo wa jinsi, hiyo hewa au oili kuhifadhiwa,
…pamoja na maelezo ya chochote kinachohusika katika njia ambayo hiyo hewa au oli huchukua kutoka A hadi D☝
…na vinginevyo kurudi au kupotezwa, ukiwa mfumo ni wa hewa!
Click HERE
BACKHOE LOADER
(Operation, Diagnostics, Troubleshooting & Repair)
The fuel water separator is for filtering, to remove the water from the vehicle’s fuel before it reaches to the sensitive parts of the engine🤷♀️!
Those whatever zigi zaga zege electronics involved should never scare You, inshaÁllah!
This SCANIA’s Repair information could help You diagnose, as in to pinpoint, the root causes of problems with several SCANIA systems setups!
Click HERE
This nonsense helps technicians (and or owners) to stay current with the technologies, how it works, how its maintained, and repair techniques, ensuring You’re a mjanja😎 to extend the useful life of whatever SCANIA equipment, seen🤔?
Your pneumatics and or hydraulic skills could just apply to all types, kinds of these machines, tools, I mean the heavy machinery and industrial equipment.
These tools just rely on the principles of fluid mechanics, where pressurized liquid transmits force and motion!
👇
www.5021.tips/ujanja/hydraulics
Cruise Control, Adaptive Cruise Control, OPTcruise‘s ECU parameters NOT Redact Similarly, but tofauti👌
Ni gari kubwa🤔, lakini kwanini inaitwa ‘SEMI‘🚚!
Alafu sometimes wakati mwingine hata kama sio ‘SEMI’, lakini wengi kwa makosa wanasema tu ‘SEMI‘😉!
This Vehicles’ Electronic Control Systems’ App💻📲 helps understand how it’s made, so You know how it works, then make sense of all the components involved, why how all their electrical wirings👇
Diff lock👨🦼Axle lock🤸♀️ Traction control👨🦯 nini🤔?
This SCANIA’s Repair information could help You diagnose, as in to pinpoint, the root causes of problems with several SCANIA systems setups!
This nonsense helps technicians (and or owners) to stay current with the technologies, how it works, how its maintained, and repair techniques, ensuring You’re a mjanja😎 to extend the useful life of whatever SCANIA equipment, seen🤔?
Ukitaka namna ya kutambua miguu (axles) ziliopo kwenye gari, na ujue ipi ya inavuuta gari, ipi inaeza kupandishwa na kushushwa, ipi inakunja, nk!
Adding liquid (like water or a solution) to tractor tires to increase weight, and improve stability & traction.
Kwani🤔, hayo maneno yanaoandikwa kwenye contena za kubeba mizigo, yaaani shipping containers, yanamaanisha nini😉?
Hiki kitabu, Modern Diesel Technology Heavy Equipment Systems, jinsi utaona 👇kuna taka taka zote za kuanzia kujifunza uchawi wa, magari makubwa , vi mashine vya kufanya kazi nziiito, nk!
Kwa nini🤔, au inawezekanaje, kwamba wakati wa kusimama kwenye mteremko…
kwa raha zake bila wasi wasi,
…dereva anaweza kutooa mguu kwa kutoka kwa kanyagio cha kusimamisha kushikiria gari (brake pedal),
…kwa muda kadha bila gari kutembea move kugonga chechote kilichopo nyuma au mbele 🏋️♀️
Ndio, umewahi kuona gari likitembea polepole👨🦯, likitambaa crawl kama mtoto👨🦼mchanga!
Yaaani, likienda lenyewe, ata kupanda vilima, hadi popote, hata kama hakuna dereva!
Ikiwa dereva yuko, hafanyi chochote isipokuwa kunywa tu ‘kamunyweso‘🍺
Caterpillar CAT engines (Crash Course)
Especially kama una usimamizi wa magari mengi, huu ujanja unaeza kusaidia namna mbali mbali!
Mfano, kufatilia thamani ya gari, imeenda safarini wapi na wapi, ilibeba mzigo gani, mteja gani alikodisha, nani aliendesha, iliingiza pesa ngapi, ukarabati, kama imewahi kuapata ajali na ni wapi, vipi, niaje, spare parts, wasambazaji, una maderva wa ngapi, viwango uwezo wao, na taka taka zingine nyingi zaidi!
Unaeza kutazama hii👇video, ama BONYEZA🧷HAPA
Pre-Inspection Tips & Tricks & Reminders + Skills
Magari hayo makubwa yanayofanya kazi fulani maalum, kama vile kuwa na mikono ya kusukuma au kuvuta vitu vizito, na mengine mengi!
Hivi ndivyo nguvu inavyoshirikiwa au kuondolewa, yaani Power Take-Off, PTO, kutoka kwenye mfumo wa injini au transmision (gear-box), driving-shaft, nk, ili kuweza kufanya huo upuuzi wote!
CAN BUS SYSTEMS
(Test, Diagnose, Troubleshoot & Repair)
Kwa hiizo (CAN) mitandao mingi ya miunganisho ya kompyuta (ECU) ya kwenye magari haya,
zig zag ndogo katika mtandao mmoja (RED CAN, GREEN CAN, YELLOW CAN, au nk) inaweza kulemaza kompyuta na mifumo mingine!
So, upuuzi huu unaweza kukupa wazo la jinsi ya kugundua ni ipi au wapi, na kisha kutatua shida yoyote✌!
Many heavy equipment offer loads of options for tackling the same or similar types of work.
But each piece of machinery could be designed for an ideal purpose, with specific applications. seen?
Sasa, because two of the most popular types of equipment are, bulldozer and the wheel loader, alafu each available in ranges of size and capacities…
…this ujanja on bulldozers vs. wheel loaders could offer some tips on how to choose between a bulldozer vs. a wheel loader when necessary, seen?
Kama unavyoweza kua unajua, shida ndogo kwa mfumo wa hewa, Air Pressure System, inaweza kuzima mifumo mingine, pamoja na breki brakes, transmission, clutch, nk!
Tunadhani vikumbusho hivi vidogo vinaweza kutumika wakati wa kutatua matatizo yoyote….
Ule uchawi wakati SCANIA imepoteza ufunguo lost key, unaiwasha vipi itembee ata bila ufunguo, au ukibadili ECU, coordinator, na vingine nk🤷♀️
HeavyDuty Truck Systems’ Diagnostics Information📚
SCANIA Electronic Control Units’ Ciphers (Presentation💻recap)
Kuna VITABU venye maelekezo, picha, maandishi, namna kuweza hizi ma CAT!
Ukitaka, unaeza BONYEZA HAPA ✌
Ule mfumo wa kupunguza kasi bila kukanyaga breki, yaani RETARDER, unaeza kuwekwa sehemu tofauti tofauti kulingana!
So, HAPA UJANJA tu👀
Siri ya HYDRAULICS na PNEUMATICS, ni kuelewa mfumo wa jinsi, hiyo hewa au oili kuhifadhiwa,
…pamoja na maelezo ya chochote kinachohusika katika njia ambayo hiyo hewa au oli huchukua kutoka tenki hadi Cylinder (actuator)!
…na vinginevyo kurudi au kupotezwa, ukiwa mfumo ni wa hewa!
Ikiwa ni pamoja na aina kawaida za trela TRAILERS zinazojulikana sana, kuna aina nyingine zaidi!
But hamna aja upotezee muda wako kujua, ni zipi au zinafanya kazi gani, isipokuwa just for adventure🤷♀️!
Kuanzia kwenye magari madogo, haya magari makubwa yana utaratibu wa jinsi ya kuunganisha trela, yaani TRAILER ELECTRICAL WIRING, ikiwa ni pamoja na urefu, rangi za waya, matundu yanapoingia, nk.
So, HAPA UJANJA tu😎
RENAULTs’ (Service, Diagnostics & Repair Tech Information)

Heavy Equipment Technician, and or Agricultural Equipment Technician!
May this nonsense we discussed about Off Road (heavy) Equipment Accessories and Attachments (discourse), be help🤷♂️!