Modern Diesel Technology Heavy Equipment Systems (kitabu)
Hiki kitabu, Modern Diesel Technology Heavy Equipment Systems, jinsi unaona 👇kuna taka taka zote za kuanzia kujifunza uchawi wa, emagari makubwa , vi mashine vya kufanya kazi nziiito, nk! Insha’Allah, iki kitabu cha wenyewe tumeiba tu, lakini kikusaidie, kikuamshe upate ujanja kuhusu servicing, maintenance, repair, diagnostics, troubleshooting & etc!
Hope it helps,
Alafu this nonsense helps technicians (and or owners) to stay current with the technologies, how it works, how its maintained, and repair techniques, ensuring You’re a ‘mjanja’😎 to extend the useful life of whatever vehicle, machine, equipment, seen🤔?
WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷♂️!