Resistors, yaaani Rizisita, zinazuia mtiririko wa umeme!
Uzuiaji huu unaweza kuja na manufaa katika hali nyingi, especially katika vifaa vya umeme!
Hizi ๐video inaelekezea kila kitu, kuanzia kwa jinsi hizi rizisita hizi zinavyofanya kazi, jinsi au wapi zinatumiwa, ikiwa ni pamoja na jinsi zinazyopangwa na kupimwa kukiwepo matatizo yoyote!
SMD resistors ย ni kama resistor za kawaida๐คทโโ๏ธ!
Utofauti ni kwamba ziko ndogo mno๐
ย
LDR (Light Dependent Resistor) ni kutegemea mwanga๐ค
Namna RESISTOR zinafanya kazi ZOOOOOTE
Jinsi umeona, kila rangi iliopo kwenye resistor ina maana!

๐๐๐๐
๐
ku caliculate hizo color codes!
๐๐๐๐๐๐