MOBILE📲PHONE (tablets)

Kama unavyojua, leo, simu ni kama sehemu mhimu ya maisha ya kila mtu!
Na kwa teknolojia inavyoendelea kukua kila wakati, kuna hitaji la wajanja wanaoweza kutengeneza kurekebisha matatizo yakitokea kwenye simu!
So, HAPA UJANJA tu👇 tunadhani hiizi taka taka zinaweza kusaidia🤷‍♂️!
Kulingana na ishara, na au, dalili, kwa huu ujanja, yaani maelekezo haya, unaweza kutambua kwa urahisi na kutenganisha mfumo au sehemu yenye tatizo!



Hizi vitabu vina maarifa yote, maandishi na picha, jinsi vipengele vinavyofanya kazi, na jinsi ya kupima, ikiwa ni lazima jinsi au nini cha kubadili!

👇👇

BONYEZA  CLICK

👆👆👆


Translate /Tafsir /Traduire