KIZUNGU SOUNDS

Simple, kwenye simu๐Ÿ“ฒ yako au computer๐Ÿ’ป, unasoma haya maneno wakati unamsikiliza mtu akiyatamka!
Ukitaka kujua maana yao, tumisa app ya kutafsiri!
Hebu, ukitaka, unaeza kutazama hii video uone niaje, ukiona inaezakusadia, shuka chini ya video uweze ku download popote!๐Ÿ‘‡

๐Ÿ‘‡ย ย DOWNLOAD0ย ๐Ÿ‘‡

kuna password, aandika tu neno:ย  kingereza

BONYEZA HAPA

kuna password, aandika tu neno:ย  kingereza


When where how why use CAPITAL LETTERS (herufi kubwa)

Herufi kubwa zinatumika sehemu nyigi kama, mwanzo mwa sentensi, majina ya watu, majina ya mahali, nk!ย  Ukitaka umbea wa ziada then check out this video๐Ÿ‘‡ย 

#capitalletters #punctuation #5021tips

Ujanja wa ENGLISHES๐Ÿ‘จโ€๐ŸŽ“KIZUNGUs

Jinsi unafahamu lugha ya Kingereza unakutana nayo sehemu nyingi nyingi katika shuguli zako!

So, ukijifunza uchawi fulani wa matumizi, kuzungumza au kuhandika, inakuwa faida kubwa ili kuulaizisha shuguli zako๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!



Bonyeza HAPA, ukitaka bora ujifiche, halafu, ujifundishe matamshi ya Kiingereza, ukiwa peke yako, bila kuhisi aibu wengine kukusikiliza๐Ÿคทโ€โ™€๏ธ!

bonyeza HAPA
Ukumbuke kuna zile APP kama GOOGLE TRANSLATE zinaeza kusaidia๐Ÿคทโ€โ™€๏ธ!


Kuna aina kama mbili ya Kingereza (Buisness English & Social English)!
Social English ni blaa blaa kawaida ya mtani ya kuzungmza na mnajuana!
Buisness English ni ile ya mambo kuwa serious kama ukitembelea ofisi ya mtu, inaekuwa mkutano, au kuongea/kuwandikiana kwa email ki biashara au whatever serious issue as we elaborated๐Ÿ‘‡!

#englishforbeginners #englishlessons #5021tips


KUTOA SALAMU

Ukitaka kutoa salam kwa lugha ya Kingereza huitaji maneno mengi wala ile wasi wasi wa kwenye saa ngapi maneno fulani yatumike!
Sema tu “Hello“๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!
Ndiyo, hata “Hi” inafanya lakini kulingana nani,
ni kama Niaje vs Shikamoo๐Ÿ˜‰!ย 

#BUISNESSenglish #HOWtoGREET #5021tips


EMAIL (Kuwasiliana kwa emailbarua pepe)ย 

Kuna umbea fulani au jinsi unavyoweza kuwasiliana kwa njia ya barua pepe namna kielimu bila wasi wasi, kama jinsi unavyosalimu, urefu wa ujumbe au hata maneno gani inasitahili kutumika, na mengi zaidi!
Part1

Part2

#businessenglish #email #5021tips



Translate /Tafsir /Traduire