Namana tumeelekezana katika hii video, cable yeyote inaeza kufanya hizo kazi kufanya diagnosis ya kitaalamu👩🏼🔧 kwenye gari za TOYOTA!
Download hii software ili muradi umeweza kubadili cable kwenye PINOUT ya protocol za TOYOTA/Daihatsu! Ukishindwa piga picha ili tuelekezane namna ya cha kufanya👌!
DOWNLOAD
👇
TIS
1 file(s) 459MB
TIS
1 file(s) 459MB
👆👆