ODOMETER CORRECTION (&dump, backup data)

ONYO

We moved the ODOMETER nonsense to HERE,
So, don’t click HERE

Sometimes majanga yanatokea wakati ‘unarekebisha’ milleage๐Ÿ˜‰!
Data inaeza corrupt, au EEPROM kuharibika/kupotea au anything๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!ย 
So, this nonsense could help You kupata backup๐Ÿ™Œ

Kwanza tunadhani unajua niaje kuhusu EEPROM work, kama la bonyeza HAPA ukumbuke uchawi wa ku deal na EEPROM data au Flash!


Hii program ni rahisi, unachagua aina la gari, then chagua kiasi cha mileage๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!

Sasa, ukipewa data, load tu kwa hiyo EEPROM husika umeoneshwa! Kazi kwisha!

Download hii program !

DOWNLOAD

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

click HERE

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†

Au tuseme umekorofisha data original wakati unafanya utundu, load tu hiyo data iwe ka dump!

DOWNLOAD

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

click HERE

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†


Translate /Tafsir /Traduire