EEPROM work (kusoma, kubadili, kuandika data)

Kuna kazi nyingi unaweza kufanya kwa kujua kuchezea data inakuanga humu kwenye chip au EEPROM (Electronically Erasable Programmable Read Only Memory)!

Yaaani hapa tunakumbushana taka taka zote  kuhusu uchawi wa, kusoma, kuhifadhi, kutambua, kubadili, kuandika, nk, ya kwamba ata ukitajiwa tu address unajua niaje!

HAPA UJANJA tu👀

Ukumbuke kuwa mwangalifu na vifaa components za circuit board (motherboard), ikiwa kifaa umefugua kime…🤷‍♀️

….kwamba unadhani umeharibu kitu kwenye mother board, hakuna matata, HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah👇

Click Here
bonyeza HAPA 

ECU programming, reading and or writing data, can be done via boot, bench, or OBD modes🤷‍♂️!
Hakuna Matata, it’s Your choice🧐, BUT each offers varying levels of access to, and which data You’re to deal with, seen🤔?

…including the so much nonsense we discuss here👇

Kwenye hii picha ya chini👇unaona blaa blaa ya namna data inakuanga ndani ya hizo EEPROM🤔?Sasa hizo blaa blaa, binary, HEX, address, nk, vyote tumeoneshana kila, kwenye hizi video👇!

Video hizi ni ndefu na kuna maneno mengi🙄,  na kama hutaki kuzitazama, no problem!

Ukitaka kufanya practical mazoezi ujifunze kwa vitendo tumeweka HAPA,  yaaani bonyeza HAPA,  hata kama hauna mashine yeyote ya hizo EEPROM na kweli unataka kufanya mazoezi🤷‍♂️!

What we have done, ni kuwekea software inasoma hizo data, pamoja na mfano ya hizo EEPROM data ili ufanye mazoezi ku edit, delete, blaa blaaa, you know?

👇👇👇

Alafu click HAPA this some not only about knowing the compatibility, or  interpreting  the label, code name, but also the terminal schematics of the EEPROM, function of each pin and whatever ping You could do, insha’Allah🤞

Madhara ya in-Circuit EEPROM programming

Before unnecessarily dismantling any ECU, nor do any  programming to Control Units,
…this Vehicles’ Electronic Control Systems‘ ujanja, reminds You about the ECU peripherals, sensors & actuators,

…so You understand of how it’s made, then know how it works, to  make sense of all the components involved, why how all electrical wirings!
👇

click HERE

kwanini 0123456789ABCDEF

REPRESENTING (labelling) HEX data

DATA ADDRESS reminder

Ukumbuke kuwa mwangalifu na vifaa components za circuit board (motherboard), ikiwa kifaa umefugua kime…🤷‍♀️

….kwamba unadhani umeharibu kitu kwenye mother board, hakuna matata, HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah👇

Click Here
bonyeza HAPA 

…….confusing EEPROM names

The data to for the,  MicroProcessor & MicroController, a.k.a FLASH data, and  EEPROM data, all could be in one memory module😉!

WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye  ECU.

Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷‍♂️!

Click HERE

CHECKSUM   ERRORS

With the skill of knowing how to READ, SAVE, DELETE, EDIT, LOCATE, eeprom data, you can do any about digital control electronics ujanja👌

Ukumbuke kuwa mwangalifu na vifaa components za circuit board (motherboard), ikiwa kifaa umefugua kime…🤷‍♀️

….kwamba unadhani umeharibu kitu kwenye mother board, hakuna matata, HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah👇

Click Here
bonyeza HAPA 

ECU 💻 cloning bungs, swapping data, BUT which data, where how it’s done, even damaged ECU🤷‍♂️

Translate /Tafsir /Traduire