Jinsi unafahamu๐ค, ukitoa battery ya gari au ukichokonowa chokonawa radio, itakuuliza neno la siri (password)๐คท๐ผโโ๏ธ! SO kama hauna hii password, bhasi hiyo radio itakata kufanya kazi. Sasa hapa tunakupa ujanja wa namna kupata hiyo password namna tunaelezana kwenye hii video๐, kiisha ushuke chini uweze ku download hii software๐ฉ๐ผโ๐ง!
Serial number mara nyigi unakuta nyuma ya hii radio baada ya kuifungua๐