RENAcode

RENAcode
Jinsi unafahamu๐Ÿค”, ukitoa battery ya gari au ukichokonowa chokonawa radio, itakuuliza neno la siri (password)๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ! SO kama hauna hii password, bhasi hiyo radio itakata kufanya kazi. Sasa hapa tunakupa ujanja wa namna kupata hiyo password namna tunaelezana kwenye hii video๐Ÿ‘‡, kiisha ushuke chini uweze ku download hii software๐Ÿ‘ฉ๐Ÿผโ€๐Ÿ”ง!

Serial number mara nyigi unakuta nyuma ya hii radio baada ya kuifungua๐Ÿ˜Ž

#RENAULTcode #RENAULTrepairs #5021tips

Translate /Tafsir /Traduire