ERC code

ERC code

Ukitoa battery ya gari au kuichokonowa chokonowa radio ki namna, itafika wakati unakuuliza neno siri au may be kama ulitoa nje memory card, inakwambia uingize card ama MAPCD ili iweze kufunguka๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ !
Kuna usumbufu wa aina mbili either inakuuliza ERC code ama inakuambia kuweka memory au CD๐Ÿ‘Œ!

Sasa ukikuuliza ERC code namna hii

Fata haya maelekezo kwenye hii video, kiisha shuka chini uweze ku download hii software ya kupata ERC code

Translate /Tafsir /Traduire