Iwe Unatumia mashine ya kawaida, au mashine ya kisasa, ili kuweza kufikia maeneo fulani ili kufanya kazi fulani, unahitaji nenosiri maalum!
Tumia ujanja huu kuweza kufanya kufanyaย ECU programming, KEY programming, kuunganisha vipuri vipya, yaani ku adapt spare parts, pamoja na kazi zingine za kitaalamu kwenye magari ya VAG, VW, AUDI, SKODA, n.k!
Pata maelezo zaidi HAPA kutoka kwa wataalam wenyewe wa Ross-Tech!
Otherwise, tumekuwekea zana hizi za kuweza kupata passwords, na video inaoonyesha jinsi ya kuzitumia!
Translate /Tafsir /Traduire
Scroll Up
I'm online, click tuCHAT
Remember, ujanja is free๐ค, but for password ni just 2 DRINKS๐ป za baridi!ย