GARAGE DATABASE

GARAGE DATABASE

Hii software itakusaidia kuhifadhi kumbukumbu kuhusu wateja pamoja na kuhusu gari zao. As in, jina la mteja, namba zake za simu, ofisi au nyumbani kwake, nk. Alafu kuhusu gari๐Ÿค”? Namba ya gari, jina la gari, picha ya gari, hiyo gari imewahi kutengenezwa hapo mara ngapi? Mfanya kazi๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ”ง gani alihusika kwa huo utengenezaji, pesa ngapi iliitishwa au je mwenye gari ali lipa ngapi kwa hiyo kazi๐Ÿค”. Je, picha ilipigwa? Aiiise, kila kitu kwamba ukiingiza tu either jina la mwenye gari au namba ya hiyo gari unapata kila umbea unaotaka๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!

Hiyo mambo kuhusu invoice, sijui receipt na unaweza kuweka TIN namba yako kwa hiyo receipt๐Ÿ‘Œ! Hizo blaa blaa za quotaion fasta fasta inatengeneza๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!

Hebu tazama hii video uone niaje, kiisha uende china kuweza kuipata ama kui download! Tena hii software haiitaji utaalamu wote ili muradi una computer au tablet kazi kwisha. ONYO: Inalingana simu, sio simu zote zinaweza!

Translate /Tafsir /Traduire