Tafuta njia zako za kusoma flash data na (au data ya EEPROM wakati mwingine, ECU fulani, kwenye gari fualni, kulingana, namna utaelekezwa)!
Sasa ukisha pata hizo data, ziingize katika programu hizi ili uchawi ufanywe automatically na kisha upate faili ya data mpya uandike, namna ilivyoelezwa kwenye video hapa👇chini!
Kama hutaki au huna muda wa kutazama video, shuka chini uweze ku download hiizi program
👇DOWNLOAD 👇
👆👆
password: 2EDColdrinks!
Kufanya IMMO OFF, other ECUs,
click HERE
click HERE
WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷♂️!
Click HERE
Zaidi kuhusu technology wa ECU za BOSCH,
…..bonyeza HAPA 👇