ECU programming (winOLS tips)

WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye kumbukumbu ya ECU.

Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷‍♂️!


HAPA UJANJA tu,  tumekuwekea hapa taka taka zote  kuikiwemo na ujanja wa namna ya matumizi, kufanya kila aina uchawi wa kwenye kila ECU!

Ni bonge la mzigo, hakikisha una data za kutosha! 

DOWNLOAD
👇

HAPA

👆👆👆


Remember
, how You read the ECU data will also determine what kinds of data You get, and what kind of tuning, programming to be done!

You get different data, via OBD mode, BOOT mode, BENCH mode!

 

ECU circuit Repair


👇

IMMO OFF files

☝☝
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!


May be whatever is causing You believe MUST do some ECU programming to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators🤷‍♂️!

So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!

click here



Translate /Tafsir /Traduire