ODOMETER CORRECTION

Fata au utafata maelekezo ya kwenye hii video ili uweze kutumisa vizuri!
Uchawi ni kwamba unaoneshwa EEPROM a.k.a chip/ic alafu unasoma hizo data, kisha unaingiza kwa hiizi ma software na kupewa namana ya kuandika au kubadili hizo kilomita unazotaka🤷‍♂️!
unaezakuta program moja ikifanya kwa gari fulani, inashidwa baadhi za magari mengine, so tumeweka program tofauti tofauti pamoja ya kwamba ukikosa moja, nyingine inakuvusha…

👇👇👇DOWNLOAD 👇👇

👆👆👆
Translate /Tafsir /Traduire