Hapa tunakusanya taka taka zote za simu, tablet, nk!
Hakuna mpangilio, chochote tunachokutana nacho, ambacho ni muhimu, tunaweka tu๐คทโโ๏ธ!
HAPA UJANJA tuโ
Kama unavyojua, leo, simu ni kama sehemu mhimu ya maisha ya kila mtu!
Na kwa teknolojia inavyoendelea kukua kila wakati, kuna hitaji la wajanja wanaoweza kutengeneza kurekebisha matatizo yakitokea kwenye simu!
So, HAPA UJANJA tu๐
….tunadhani hiizi taka taka zinaweza kusaidia๐คทโโ๏ธ!
Kulingana na ishara, na au, dalili, kwa huu ujanja, yaani maelekezo haya, unaweza kutambua kwa urahisi na kutenganisha mfumo au sehemu yenye tatizo!
Hizi vitabu vina maarifa yote, maandishi na picha, jinsi vipengele vinavyofanya kazi, na jinsi ya kupima, ikiwa ni lazima jinsi au nini cha kubadili!
๐๐
BONYEZAย CLICK
๐๐๐
Bonyeza HAPA
….ukitaka maswala kuhusu code kanuni za kuchezea simu!
