BMW 3 Series (E46) ni kizazi cha nne cha aina ya BMW 3 Series.
BMW hii imegawanywa zaidi katika aina tofauti,
ikiwa na injini za petroli kama,
M43 N42 N46 M56 M52 M54S54
Alafu za Diesel kama,
M47 I4 M57
Kuna E46 Sedan yenye milango 4!
Kuna ile wagon ama estate, yaani E46 Touring yenye milango 5!
Kuna ile hatchback, tuseme E46 Compact yenye milango 3!
Kuna E46 Convertible yenye milango 2!
Kuna E46 Coupé yenye milango 2!
Kuna zile kama E46 M3 yenye imechakuchuliwa

Kama unavyoona👇, upuuzi huu una taarifa na maelekezo muhimu yanayohitajika kwako, mtumiaji, na hasa kwa Fundi (Mechanic), ili kugundua, kisha kurekebisha BMW 3 Series (E46) hizi ili zirudi katika hali ya kawaida ya kufanya kazi, insha’Allah🤞
Uchafu huu una maelezo, taarifa kamili, pamoja na maelekezo ya hatua kwa hatua, michoro na picha, hutoa maelekezo na mwongozo wa kina kuanzia ujinga rahisi kama kufanya auto diagnosis, kugundua matatizo za hizi BMW!
Alafu, kwasababu inaelezea utendaji kazi tata wa mifumo yote, inatoa uelewa wa kina wa jinsi vipengele tofauti vinavyoingiliana.
Kama unavyoona, inashughulikia mada zote zinazohusiana na, ikiwa ni pamoja na, kufanya savisi kubadili oili, matengenezo, ukarabati na mifumo ya umeme, pamoja na michoro ya waya, uchunguzi na miongozo ya utatuzi wa matatizo.
HAPA UJANJA tu🤠
BMW IMMOBILISER SYSTEMS
We compile ECU PINOUTS for every all NISSAN‘s Electronic Control Units!
click HERE

May be whatever is causing You believe MUST do some nonsense to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators🤷♂️!
So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!
click here
👇
IMMO OFF files 
☝☝
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!
HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah👇
ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!
WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷♂️!
Click HERE

Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tu







