Hii ni mojawapo ya programu zinazoongoza, zenye mwongozo kwa ajili ya matengenezo, utambuzi, yaani Auto Diagnosis, na ukarabati wa magari.
Unapata michoro ya matengenezo, michoro za waya, na vingine vingine vingi! Unaeza tembelea hizi tovutu uone niaje!
👇
Hapa tumekusanya tu uchawi fulani kuhusu namna ya kila ‘hakijulikani‘😁😂
👇
BONYEZA HAPA
👆👆👆👆
May be whatever is causing You believe MUST do some nonsense to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators🤷♂️!
So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!
click here
👇
IMMO OFF files 
☝☝
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!
HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah👇
ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!
WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷♂️!
Click HERE
Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tu