Hakuna mpangilio, utaratibu maalum, tunaweka tu upuuzi wowote kuhusu blaa bla ya COMON RAIL DIESEL SYSTEMS!
By the way, mfumo wa COMMON RAIL hutumiwa zaidi katika injini za kisasa za dizeli.
Katika mfumo huu, kiasi cha mafuta sahihi hutolewa au kuachiliwa kwa injectors na shinikizo au pressure inalohitajika!
Mafuta yanavutwa kutoka kwa tanki na kuongezewa pressure zaidi kwenye pampu kupitia vichungi (fuel filters),
na hutolewa kwa reli ya mafuta. Mafuta hutolewa ndani ya sindano kwa wingi sawa au sahihi!
Huu mfumo wa CRDI ina sehemu tofauti kama pampu, reli ya mafuta, sindano, n.k.
Tanki la mafuta limeunganishwa kwenye pampu ya shinikizo (preesure)!
Ukitaka unaeza kuendelea kutazama hizi PDF!
							Loading...
						
							Loading...
						
							Loading...
						
							Loading...
						
							Loading...
						
							Loading...
						
May be whatever is causing You believe MUST do some nonsense to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators🤷♂️!
So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!
click here
👇
IMMO OFF files 
☝☝
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!
HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah👇
ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!
WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷♂️!
Click HERE

Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tu 
 
				



