Ujanja katika uchawi huu, ni kwamba, unaweza kufungua na kulinganisha hizo binary faili tofauti tofauti, kwa pamoja, na ukaoneshwa utofauti uko wapi, insha’Allah🤞!
Ina maana, kama kuna mtu umemutumia faili na akafanya kazi fulani na akakuficha bila kuambia, hu ujanja utakupa umbea wote!
Infact ata wenzako ama hizo software zinazokuomba data ili zikufanyie kazi fulani kama ku delete, DPF, EGR, DTC, IMMOFF, nk, kiisha zinakupa data tofauti baada kuzifania kazi, ukilinganisha data kabla na baada, utajua niaje!
Alafu hapo👇chini kuna programs mbili, use the same password of ‘Pombe mbili tu‘ to download both!
WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷♂️!