Design, Distribution of Electrical Services for Buildings (vitabu)
Naaam, jinsi unafahamu, huduma za umeme ni sehemu muhimu katika jengo lolote! So, ni muhimu kwa wataalamu wa ujenzi kuelewa kanuni ya msingi ya usanifu wa hizi huduma.
Haya maandishi, kitabu, hutoa msingi kwa wote katika fani hiyo🤷♂️!
Unaona 👇 kitabu kinaonesha uchawi wote wa umeme, waya, usambazaji ikiweko na ulinzi, yaani protection for lighting and power installations.
WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷♂️!