Unaeza kutana zipped file kwenye computer au simu, alafu zinagoma kufunguka!
…yaani, kila unapoibonyeza inakuletea maneno fulani, sijui “file can’t open” mara sijui nini nani, “file want pombe”, nk🤣😁😂!
You know hizo file ambao zimeka kama niaje👇
…alafu ata baada ya kuweka aina unzipper fulani, ndo zinakaa namna🤔, lakini bado kufunguka zinaongea ki jaLUO🤣😁😂!Good, karibu👍! Haki sijui kama umeelewa hizo zipped files, but insha’Allah, 😀😁😂!
Hata kama, baada ya kutumia programu fulani, lakini bado inakataa kufungua, usihitimishe tu kuwa imeharibika kabisa!
Naam, insha’Allah, ujanja ni kujaribu kutumia programu tofauti tofauti!
Alafu hizi program ni bure mtandaoni🤷♀️!
Hebu muulize, au tumia link hizi tulizoweka hapa chini!
Kwenye simu🤳 BONYEZA HAPA
Computer💻 HAPA kisha bonyeza download,
ikikataa rudi uchague either 64bit ama 32bit, infact ukibonyeza yenyewe itajua computer ni ya system ipi🤷♂️, wewe download tu👌!
WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷♂️!