USB (Universal Serial Bus) ni uchawi kuunganisha vifaa vya elektroniki, na kuviruhusu kuwasiliana, ama, na kusambaziana umeme!
Kama maana ya neno lenyewe, UNIVERSAL, USB ilikusudiwa kuchukua nafasi ya viunganishi vya aina mbali mbali, vilivyokuwepo kwenye kompyuta!
SERIAL, kwa mfano, ni kama filamu kubwa, ndefu, iliyotolewa mfululizo, selizi🤪tamsiria, yaani inaonewshwa kwa vipandi nusu nusu, series, lakini mwishoe inakamilika yoote🤣😂!
BUS, ni kama basi la abiria, mnakuwa wengi mnaelekea njia hiyo moja!
Vinginevyo, kila mmoja angekuwa anaendesha gari lake, bara bara zinajazana msongamano wa magari megi, ambao ndo waya ama cable nyingi, na ukubwa!
USB Type A
USB, type-A, ndiyo msingi wa uchawi wa USB😎!

Type-A inatambulika zaidi kwa umbo lake tambarare, yaani very flat.


Hutoa umeme, pamoja na data.

Pin 1: Red (nyekundu) VCC (+5V Power)
Pin 2: White (nyeupe) – D- (Data Minus)
Pin 3: Green (kijani)- D+ (Data Plus)
Pin 4: Black 😉(nyeusi) – GND (Ground)

USB type-A ina viwango mbalimbali,
ikiwa ni pamoja na USB 2.0, USB 3.0, na USB 3.2, nk, kwa kulingana kasi na ufanisi wa kazi.


USB, type-A, inaweza kupatikana katika ukubwa, upana tofauti, Standard, Mini, na Micro!

USB,Type B, zaidi ya jinsi inavyoonekana, hakuna kitu kingine chochote cha kupoteza muda wako nacho!
In fact, ngoja nirahisishe kila kitu🤷♀️!
0) Ni Type-A ambao tumeona!
1) Ni Type-B
2, 3, 4, 5, nk) Ni miundo mbali mabli za aina hii type-B🤷♀️!

Katika muunganisho wa kawaida wa USB, sii ni kompyuta ndo kusimamia vifaa vingine (kama vile simu, printa, nk)!
Sasa, uchawi wa USB On-The-Go (OTG) ni kuwezesha kifaa chochote kuwa bosi🤠!

Pini ya OTG ID, ndo kuwezesha huo uchawi!
Kifaa, ilikiwe BOSI (host) , pin4 yacho, lazima ipate GND ya pin 5🍻!
HAPA UJANJA tu📚!

Type C
Jinsi ilivyotokea, muundo mpya wa USB unakuja kuchukua nafasi ya miundo yote ya awali!
Sasa, hii type-C ilikuja kuchukua nafasi ya yote hayo, akina type B, type A, na kufanya kazi bora na za kina zaidi!
Type-C inafanya mambo mengi⚓🔑
Sio kwamba nyaya zote za USB-C zinaundwa sawa; kazi halisi hutegemea ni uchawi gani maalum (kama, USB 3.2, Thunderbolt, DisplayPort Alt Mode, USB PD) kazi ambazo vifaa na kebo zilizounganishwa zimeundwa kusaidia.
Unapaswa kuangalia vipimo vya bidhaa au kutafuta nembo za uthibitishaji ili kuhakikisha kebo inakidhi mahitaji yao.
Kebo inaweza kutengenezwa (kiujinga, sio ujanja) ili ionekane tu kama kwamba ina miunganisho mingi, lakini ni nyaya chache tu zilizounganishwa📴!
sio sahihi, kwa kutazama 🧐tu waya, udhani zote ni sawa😁!
Mtu anaweza kuamua vinginevyo, kutengeneza kebo maalum inayofanya kazi kwenye kifa chake alichotengeneza, yaani waya iwe tofauti na kiwango kinachokubalika.

Unasikia wengine wakisema ni waya zao tu zinazofanya katika mashine zao!
Kumbuka kwamba data hutenganishwa katika njia ya USB, yaani, katika mfululizo🤠.
So, daima kuna kitu kama EEPROM (IC, chip) Driver ama microController, kifaa cha kutafsiri, kuunganisha data yote inayotumwa kupitia USB, ili iwe na maana kwa moduli zingine!

By the way, ukitaka ule ujinga kugundua, upimaji, taka taka yote jinsi vidude mbali mbali kwenye maza bodi, pamoja na jinsi vinafanya kazi,
usibonyeze HAPA, but click here!

HAPA UJANJA tu🤞
May be whatever is causing You believe MUST do some nonsense to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators🤷♂️!
So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!
click here
👇
IMMO OFF files 
☝☝
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!
HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah👇
ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!
WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷♂️!
Click HERE

Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tu







