PIN/SKC (Secret Key Code) to Adapt ECU, new/lost Keys & Accessing other Security Features

Iwe unatumia mashine ya kawaida, ama mashine fulani special, huu uchawi ni wa kuwezesha kupata PIN, nenosiri maalum ili uweze kufanya kazi fulani deep!
Yaani, using almost any OBD tool, You could just login into 👇 this XYZ network,
to adapt a different, new, X or Y or Z!
As in, if key is lost, new instrument cluster, new ECU, hakuna matata🤷‍♂️!  
Tumia ujanja huu kuweza kufanya kufanya  ECU programming, KEY programming, kuunganisha vipuri vipya, yaani ku adapt spare parts, pamoja na kazi zingine za kitaalamu kwenye magari ya VAG, VW, AUDI, SKODA, n.k!

Pata maelezo zaidi HAPA,
kuhusu uchawi wa  VAG-Tech!
Otherwise, tumekuwekea ujanja kuweza kupata passwords, chini ya video hii inaoonyesha jinsi ya kuzitumia!

DOWNLOAD 👇

password: endigi2

CLICK  BONYEZA CLIQUEZ

 

☝       ☝     ☝     ☝         ☝         ☝☝       ☝     ☝     ☝         ☝         ☝☝       ☝     ☝     ☝         ☝         ☝☝       ☝     ☝     ☝         ☝         ☝

 

👆👆👆👆👆


May be whatever is causing You believe MUST do some nonsense to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators🤷‍♂️!
So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!
click here

👇
IMMO OFF files
☝☝
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!

HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah👇
Click Here
bonyeza HAPA 

ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!
click HERE

WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye  ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷‍♂️!
Click HERE

Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tu 


Translate /Tafsir /Traduire