Hii simple, Auto Repair Workshop’s System (Customers, Vehicles, Spares, Technicians, Repair Database) software itakusaidia kuhifadhi kumbukumbu kuhusu wateja pamoja na kuhusu kazi zinazofanywa au kazi zimewahi kufanywa, ama hizo zakufanywa kwenye gari zao, seen🤔?
Kila taka taka ikiwemo, madeni, spare parts zilizotumika, mafundi walihusika, ugojwa uliotibiwa, Niiga, everything🤷♂️ pamoja na sehemu kuweka picha ya gari na kumbu kumbu zake, inshaAllah✌
Alafu kuhusu gari🤔?
Namba ya gari, jina la gari, picha ya gari, hiyo gari imewahi kutengenezwa hapo mara ngapi? ..a.k.a repair history🤷♀️!
Mfanya kazi👨🔧 gani alihusika kwa huo utengenezaji, pesa ngapi iliitishwa au je mwenye gari ali lipa ngapi kwa hiyo kazi🤔.
Je, picha ilipigwa? wakati kazi inafanywa? Aiiise, kila kitu kwamba ukiingiza tu either jina la mwenye gari au namba ya hiyo gari unapata kila umbea unaotaka🤷♂️!
Hayo mambo kuhusu invoice, sijui receipt na unaweza kuweka TIN namba yako kwa hiyo receipt👌!
Hizo blaa blaa za quotaion fasta fasta inatengeneza🤷♂️!
Hebu tazama hii video uone niaje, kiisha uende china kuweza kuipata ama kui download!
Tena hii software haiitaji utaalamu wote ili muradi una computer au tablet kazi kwisha.