Usisome tu upuuzi huu! Fanya na vitendo!
Huko chini, tunaweka sampuli za kufanya mazoezi nazo!
Unahitaji tu kompyuta ya kawaida!

Tafadhali fanya mazoezi ya kutumia hizo zana pepe, yaani zisioshikwa but zinaonekana!
Kufanya mazoezi ili kukushawishi uanze kufanya vya ukweli๐!
Alafu, hizo vifaa venyewe, unaeza kuzipata popote nchi yeyote uliopo, Ghana, Jamaica, Rwanda, Barboados, Botswana, Trinidad, ayneK๐๐คฃ, popote ulipo, seen๐ค?
HAPA UJANJA tu๐!
Naamini unaona Watu wakawaida wakitengeneza, kuunda vifaa vya ajabu!


So, kwa kutumia mfano wa mradi huu, drone,
wa ndege isiyo na rubani,
yaani, drone, ‘duloni‘ ๐๐คฃ๐!

Ndiyo, najua unajua kazi nyingi tofauti zinazofanywa na ndege isiyo na rubani!
Na jinsi inavyofanya kazi ikiruka kote kama ndege!

Kuwa na mtazamo๐ค!
Katika ‘duloni’, ๐
sehemu kuu ni mota!
yaani, electrical motors, SOZI๐!
Hizi mota zina feni (m) zinazozunguka!
Kama ilivyo๐,
SOZI inadhibiti m!
Uchawi wa drone, jinsi inavyofanya kazi, ni kudhibiti, kuchezea hizo mota zenye mabawa!
Ndani ya drone, hakuna kitu ngumu!

Ndiyo, unajua uchawi wa mota๐ค!
Umeme ukipungua, kasi pia inapungua!
Kugeuza pande za betri, hubadilisha mwelekeo ambao mota inazunguka!
So, kasi na mwelekeo wake wa mzunguko unaweza kudhibitiwa (controlled) kwa kudhibiti umeme wake!
Mota hizi, SOZI, zinadhibitiwa na kompyuta, Q!
Na kumbuka kompyuta inafanya kazi kulingana na jinsi ilivyoamriwa (ilivyopangwa) programmed kufanya, yaani, how it’s coding is coded๐คฃ๐ !
โKulingana na ujumbe kutoka kwa kitambuzi, sensor ama controller (A), jinsi unavyotaka drone iende, kompyuta (P) itatuma huu ujumbe kwa kompyuta mwenzake, Q ๐คทโโ๏ธ!
Obviously kwa kupitia utaratibu, B, usiotumia waya!

๐๐๐
Ebu tazama picha hii kwa maakini, ili tujaribu kujadiliana pamoja!
Kumbuka, nilitumia tu drone kama mfano, lakini kuna vifaa vingi sana vinavyotengenezwa kwa kutumia upuuzi huu!
Kwa hivyo, usiweke tu mawazo yako kwenye drone pekee๐๐!
Sasa, mota hizi๐, SOZI, zinauzwa popote mdukani!
Hata hiyo kompyuta (Q)ย yaani mazabodiย (motherboard), inauzwa kila mahali dukani, lakini inauzwa ikiwa tupu, tupu bila amri yoyote, yaaniย without programmed instructions, ama tuseme data!
Niiga, naamanisha maagizo ya jinsi ya kudhibiti mota, bomboclat๐๐คฃ๐!

Hivi ndivyo upuuzi wa ARDUINO unavyokujia!
Kuna kompyuta hizi tupu zinazouzwa kila mahali!
Kompyuta hizi zinajulikana kama ARDUINO,
..yaani
Arduino Development Boards!

Nikisema ‘kompyuta‘ akili yako isiwaze tu ile ya kawaida ambao kila ameaozeoa๐๐คฃ๐!

Alafu kuna aina nyingi tofauti za hizi, ‘kompyuta’, yaani maza boadi za ANDROID, na zinaweza kugawanywa kulingana na ukubwa wake, madhumuni yake, sehemu zake, na mengi zaidi!

Na kama unavyojua, kwamba kompyuta hufanya kazi kwa kutoa matokeo kulingana na ingizo!
Kama unavyoona kwenye hii picha๐ hapa chini,
kompyuta (B) ilipangwa kusikiliza kitambuzi (A)!
Mradi tu kitambuzi (A) kinatuma ujumbe kuhusu uwepo wa pombe (P) kompyuta (B) huambia kiendeshaji (C) kufungua mlango.

Vitambuzi(A) โ, yaani sensa (sensor) kama (A)โzinauzwa kila mahali!
Unapoendelea kufikiria nini cha kuunda, kutengeneza, insha’Allah,
unaweza kutaka kutumia takataka hii,
BONYEZA HAPA
..kujifunza kuhusu vitambuzi tofauti,
jinsi vinavyotumika katika hali halisi ya maisha, kwenye vifaa fulani vya kielektroniki!
CLICK HERE get an idea of how what where sensors applied!
Actuators (C) viendeshaji, vinauzwa kila mahali!
Ndiyo, na tena๐คช,
Unapoendelea kufikiria nini cha kuunda, kutengeneza, insha’Allah,
unaweza kutaka kutumia takataka hii,
BONYEZA HAPA
..kujifunza kuhusu viendeshaji tofauti,
jinsi vinavyotumika katika hali halisi ya maisha, kwenye vifaa fulani vya kielektroniki!

CLICK HERE not to get ideas of how what where sensors applied, bomboclat๐คฃ๐๐๐!
Kumbuka, nikisema ‘kompyuta‘ (B), akili yako isiwaze tu ile ya kawaida, akina laptop, ambao kila ameaozeoa๐๐คฃ๐!
So ata kompyuta(B) โ, yaani ‘maza bodi‘ kama (B)โzinauzwa kila mahali!
Kompyuta huja ikiwa tupu, bikira!
Hapa ndipo unapoweka programu, maelekezo (data)!
Wale wa www.arduino.cc ย wanaotengeneza kompyuta hizi, hufanya hivyo kwa hiari, voluntarily๐ค!
click here download
Programuโ unayohitaji kuandika maelekezo (uchawi) katika ‘maza bodi’ kompyuta hii, ni bure, wala bila masherati ya “just 2 beers“๐๐๐!

Bofya hapa kuipakua!
Juu ya kuandika (coding) huo uchawi,
tafadhali usiogope! Usikaate taama!
Niiiga, usipoteze matumaini ya kuwa mbunifu!
Kumbuka, HAPA UJANJA tu๐ค , mtu yeyote,
ikiwa ni pamoja na Wewe,
unaweza kuwa mjanja, kufanya chochote, mwenyewe, peke yako, insha’Allah!
Be confident๐!
Kwa mfano;
Ukitaka kubuni uchawi,
๐
..wa kutenganisha, kutoa chupa za bia katika chupa zinaopita!
Sasa, unaanza kufikiria kuhusu unachotaka kudhibiti, yaani ku controll๐ค!
Unaweza kugundua kuwa chupa ya pombe ni nyeusi!
Kitu kingine kinaweza kisiwe cheusi, bila giza kama chupa!
Labda kwa sababu ulibofya hapa, na una wazo la vitambuzi tofauti!
Sasa unafikiria, na unapata kitambuzi kinachoweza kugundua vitu namna hivi kwa njia ya kipekee!
Huenda ikawa ni kwa sababu, chupa ya pombe ni nyeusi, inafanya uchawi tofauti, kwa chochote ambacho hii (sensor), yaani kihisi hiki, hutumia kuhisi๐คทโโ๏ธ.
Naaam, insha’Allah, tena, huenda ikawa ni kwa sababu, chupa aina zingine , sio nyeusi, zinafanya uchawi tofauti, kwa chochote ambacho hii (sensor), yaani kihisi hiki, hutumia kuhisi๐คทโโ๏ธ.
Sasa, katika huu mradi wako wa kutengenisha, unaona jinsi sehemu ya kuhisi (sensing) tayari imeshughulikiwa๐ค?!

Upande wa kitambuzi (A) ni tayari, umeweza kupata kitambuzi, sensor ya kuchunguza hizo chupa!
๐๐๐คฃ Sasa usifikirie kukata mkono wa mtu, eti utumike kama kinendeshajiย (actuator)kutoa au kusukuma chupa ya pombe iliyogunduliwa!
Kuna viendeshi vingi sana, yaaani vipengele vya umeme, unavyoweza kufikiria!
Inaweza kuwa mota inayozunguka, au kitu kingine chochote, kama solenoid inayoweza kuvuta au kusukuma chupa ya pombe iliyogunduliwa๐!

Sasa, ni masha’Allah, kitambuzi (A) tayari!
Kiendeshaji (C) nacho tayari!
Kwenye kompyuta(C) ndo mchwi mwenyewe๐๐คฃ๐!
Nakukumbusha, usiogope uchawi wa programming, coding ya kompyuta!
Hebu tuendelee polepole, tunapogundua jinsi ya kupata uchawi, coding maagizo ambayo kompyuta (B) inapaswa kufanya kazi nayo!
Kwanza kabisa, hii ‘zig zag’ haina uhusiano wowote na EEPROM work!
Huhitaji (sio lazima)ujuzi wa kujua jinsi ya kusoma, kubadilisha (edit) au kuandika, data kwenye EEPROM!
Lakini, hata kama unataka kujifundisha mwenyewe, EEPROM work, obviously HAPA UJANJA tu๐ค !
Click here, jifunze mwenyewe, jazka’Allah๐คฃ๐

Kwanza, tukubali ukweli huu๐ค!
Huwezi kuamka tu na kuanza kuandika amri (programu) hizi instructions ambazo kompyuta hutumia๐คช!
SI kwamba huwezi, lakini inachukua muda, wakati kumbe huhitaji maandalizi yoyote ili kuunganisha vitambuzi na viendeshaji, kwenye kompyuta (maza bodi)๐คทโโ๏ธ!
Ili kusaidiana, mwanzoni, upande wa programming, wewe zingatia tu kujua jinsi ya kuunganisha kebo ya usb kwenye kompyuta yoyote ya kawaida!

Kama vile unavyoweza kuhamishia picha, muziki kwenye fulashi diski (flash disc), hamishia programu (coding) ambayo Suzan atakutumia, kulingana na mradi uliowaomba wakubunie!
Na lazima ujue, kuunganisha tu waya ya USB na kuhamishia purogram, sio kua mjanja๐ค!
Kwasababu bado unatutegemea kuandikia, kuundia purogramu!
Ndo maana tunatendelea taratibu wakati tunapeana uchawi wa wewe kuweza kujiuundia programu mwenyewe, inshaรllah๐ค!

A) Tumetambua kwamba kila aina sensors vitambuzi (A)ย vinapatikana madukani, na ni rahisi kuinganisha kwenye (B) kompyuta (maza bodi)!
C) Tumetambua kwamba kila aina ya actuators viendeshaji (C) vinapatikana madukani, na ni rahisi kuinganisha kwenye (B) kompyuta (maza bodi)!
B) Tumetambua kwamba unaeza kupata, ata kama mwenyewe bado hujajua uchawi wa kuunda (B) purogramu (coding), yaani kuandika maelekezo jinsi kompyuta itaunganisha vitambuzi (A) kwa viendeshaji (C)!
Na ukumbuke hizi kompyuta (B), yaani maza bodi zipo aina tofauti, lakini utoafuti wazo ni mdogo tu!
insha’Allah, polepole polepole, tunaendelea kujadili kila sehemu iliyo kwenye maza bodi hizi, ili usifanye makosa yoyote, jazak’Allah๐ค!



Tunaenda polepole, tunapokumbushana kwa undani, kuhusu uchawi wote, kuanzia misingi ya kuhamisha programu kutoka kwa kompyuta ya kawaida, hadi kwenye kompyuta fulani, chipu(Z) EEPROM!
Tutajadili kwa undani, kila sehemu, kila kitu kwenye kompyuta hii, maza bodi!
Huna haja ya elimu yoyote ya shule!
HAPA UJANJA tu๐ป
Part-0
Kuweka data (maelekezo) kwenye maza bodi (Arduino board)
Software ya kusaidia ‘kopi & pesti‘ย kuhamisha programu iende kwenye kompyuta EEPROM, Z, inapatikana popote!
Na tayari uko nayo!
click here download
Tuseme๐ค, kwaย kulingana maagizo uliyotoa๐!
Sasa umepewa na una data, ambayo inalingana na jinsi ulivyopanga vitambuzi na viendeshaji, kwenyeย maza bodi๐ง!
Mfano wa maelekezo coding data
Na ukumbuke hizi kompyuta (B), yaani maza bodi zipo aina tofauti, lakini hata kama utofauti wazo ni mdogo tu!

So, kwenye programu๐ป, kwa kutumia kompyuta ya kawaida, yaani laputopu๐ป,
hakikisha umechaguaย ‘maza bodi’ ya Arduino sahihi, halisi, yenyewe unaotumia๐!
Kwenye kompyuta ya kawaida๐ป, kama vile jinsi unavyoweza kutafuta video, muziki, kutoka mahali ulipoihifadhi, sasa tafuta data hiyo ambayo SUZAN alikutumia!
Data ikifunguliwa, insha’Allah, unaweza kuangalia, kutazama, kufuata maagizo wakati unajifunza, unafuatilia jinsi uchawi unavyofuata!
Tafadhali ๐usibadilishe chochote,
bofya tu kitufe kimoja tu, UPLOAD, ili kupakia, kuandika au kutuma data kwenye ‘maza bodi‘๐ค!
Ukibadili bila kuelewa unachobadilisha,
tayari umeharibu kila kitu!
So hapo lazima utume vinywaji vingine, Suzan akushugulikiye na ujanja kwa debugging!
Part-1
Kuweka, ama kutumia kebo ya usb kuiunganisha kompyuta kwa ๐งna maza bodi (Arduino board)
Si sahihi kuamuru, kuamini, kwamba ni aina moja tu ya kebo inayotumika๐!
Insha’Allah, tumia kebo inayofaa kwa tundu lolote la USB utakalopata๐!

Kumbuka๐ค, kuna upuuzi mwingi tofauti ambao unaweza kusababisha kebo kutokuwa na maana๐ฝ!
Click Bonyeza Hapa
Hapaโ tulijaribu kujadili kila upuuzi kuhusu kebo hizi๐คทโโ๏ธ!
Part-2
Hongera๐ค!
Umefanikiwa (na kwa usahihi) kuunganisha kebo ya USB!
Kwa ufahamu wako tu, ujue kwamba,
data kutoka USB, haiendi moja kwa moja kwenye chip, microController (Z)๐!
Kuna kitu (X) kama EEPROM (IC, chip) Driver ama microController๐ค!
ย Whatever, but kifaa (X) ni cha kutafsiri,
kuunganisha data yote inayotumwa kupitia USB,
ili iwe na maana kwa moduli (Y)๐ง!
Kumbuka kutoweka tu ubongo wako kuganda kwenye kifaa kimoja maalum๐!
Inaweza kuwa tofauti, ATmega16U2, ama ATmega32U4 ama FTDI FT232RL ama CH340G, yeyote, insha’Allah, kulingana aina ya module๐ง!
Ujanja ni kujua tu kwamba kuna kitu (Y) cha utendaji huu!
Yaaani, daima kuna kitu kama EEPROM (IC, chip) Driver ama microController, kifaa cha kutafsiri, kuunganisha data yote inayotumwa kupitia USB!
By the way, ukitaka ule ujinga kugundua, upimaji, taka taka yote jinsi vidude mbali mbali kwenye maza bodi, pamoja na jinsi vinafanya kazi,
usibonyeze HAPA, but click here!

HAPA UJANJA tu๐ค
Part-3
Masha’Allah๐ค!
Tumefanikiwa (na kwa usahihi) kuandika data, instructions maelekezo kwenye chip (Z)!
Kwa ufahamu wako tu, ujue kwamba,
leo, mwaka 1990 wakati tunaandika taka-taka hizi, Arduino nyingi zinatumia microController (Z)๐!
Sio kwamba hakuna,
Arduino za microPROCESSOR๐!
Bonyeza Hapa ukitaka kutofautisha microPROCESSOR kwa/na microCONTROLLER๐ง!
Lakini, tafadhali๐, fahamu kwamba kuna uchawi wenye microPROCESSOR (Q)๐!
Naaam, microCONTROLLER (Y), hizi vitu ni vingi,
aina tofauti na vyenye sifa tofauti!
Maana yake unapaswa kuwa mwangalifu jinsi unavyochagua๐ง!
kwa mfano, kuna…
ATmega328P๐
Kumbuka “vitu hivi” vinaweza kuja katika aina mbili, DIP (s) au SMD (z) ๐คทโโ๏ธ
Vyote uchawi ni sawa, na vitafanya kazi kwa njia ile ile.
Tofauti pekee ni kwamba chipu ya DIP (s) ni inayoweza kutolewa hukuruhusu kubadilisha, kukiwepo vurugu yeyote!
ATmega328๐
Ndiyo, hizi vitu (Arduino) zina ukubwa tofauti!
Leo mwaka huu 1990 wakati tunaandika ujinga huu, ilikuwa Arduino Nano mojawapo ya mbao ndogo, ikiwa karibu nusu ya ukubwa wa Uno๐!
Arduino MKR’s ๐
Baadhi ya hizi vitu, huja namna fulani, kuzingatia sana kazi maalum!
Kwa mfano, hii Arduino MKR Zero ni bodi nzuri kwa miradi mbalimbali ya muziki.
Inakuja na hiyo chip, SAMD21 Cortex-M0 inajulikana kwa kula, kutumia umeme kidogo๐!
Arduino MKR Zero in sehemu ya SD card pamoja na vipengele vingine SPI (S,O,Z)๐คช!
Ndiyo, kumbuka, baadhi ya hizi vitu, huja namna fulani, kuzingatia sana kazi maalum!
Mfano mwingine ni waย Arduino MKR WiFi 1010 ikiwa unataka uchawi wa IOT (Internet Of Things)
Ina vifaa sipecio (S,O,Z) kwa muunganisho wa WiFi na Bluetooth๐!
Kuna MKR Vidor 4000 yenye FPGA processor pamoja na controller ya Intel Cyclone 10CL016, SAMD21 Cortex-M0+ …
Unaona hiyo NINIAW102 module, LiPo ya battery, Micro HDMI, MiniPCI Express, MIPI Camera connector, na vipengele vingine vya SPI connectors.




Inaeza ikawa ile 

Tuseme,
Katika (
Kumbuka,






