Gari za siku hizi ni kama mwili wa mwanadamu🤔!
Sasa, hiyo CAN BUS ni kama ni mfumo wa neva, yaani nervous system, unaowezesha mawasiliano wa kila mfumo wa mwili!
For LINBUS NONSESNE
click HERE
Ndiyo, hizo ECU zione kama vipande vya mwili vilioonganiswa na huu mfumo wa CAN BUS!
CAN BUS (CAN = Controller Area Network) alafu BUS ni kama basi la abiria🤔!
Kwenye basi la kutoka Kampala kwenda Nairobi, munaingia wengi lakini kila atashuka sehemu tofauti, kulingana, Jinja, Busia, Eldoret, Nakuru, nk, hadi Nairobi!
So, CAN ni muungano wa ma kompyuta ziliopo kwenye gari kwamba zinawasiliana, kupeana msaada…
…kugawana ujumbe muhimu, kutoka kwenye hisia ama sensor zisipo katika mifumo wa ecu zingine!
Mfano👇, D, kompyuta ama ECU ya SUSPENSION ikihitaji umbea kuhusu speed, mwendo wa gari, itapata umbea huu kwa njia CANBUS!
A, ambao ni Computer ya ABS yenye X, speed sensor zinazochunguza mwendo wa gari, itaweka signal hii ya speed, kwenye CANBUS🤷♂️!
…kuliko kwamba waya za speed sensor zitafungwa kwa kila computer ya gari itahitaji kujua mwendo wa gari🚒!
You may watch👇👇this video for deeper explanation!
TESTING & TROUBLESHOOTING CAN BUS FAULTS

This useless setup could help You do nonsense with the electronic components on the ECU motherboard! including how to identify, test, replace any components!
CANBUS MODULE IN THE ECU
BASIC INTRODUCTION about CAN BUS SYSTEMS
May be whatever is causing You believe MUST do some nonsense to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators🤷♂️!
So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!
click here
👇
IMMO OFF files 
☝☝
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!
HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah👇
ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!
WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷♂️!
Click HERE
Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tu