Wakati unafanya diagnosis kwenye magari za BENZ yeyote, ndogo na kubwa lorry kama Actross, ukitaka kufanya yale mambo advanced kama key programming, ADblue, ECU blaa blaa, kushusha/kuongeza speed, etc, unaitiishwa password namna hii👇👇
Like ukitaka kufanya ECU programming
Au ukitaka kufanya zileSo baada ya kuweka password ndo inafunguka namna hiii👇
Infact ukitaka kuona zaidi au namna ya ujanja wa hii software, …hebu watch this video then download hapo chini👇
DOWNLOAD HAPA👇
password: cc walayvy
👆👆👆👆👆👆👆