ODOMETER CORRECTION (&dump, backup data)

ONYO

We moved the ODOMETER nonsense to HERE,
So, don’t click HERE

Sometimes majanga yanatokea wakati ‘unarekebisha’ milleage๐Ÿ˜‰!
Data inaeza corrupt, au EEPROM kuharibika/kupotea au anything๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!ย 
So, this nonsense could help You kupata backup๐Ÿ™Œ

Kwanza tunadhani unajua niaje kuhusu EEPROM work, kama la bonyeza HAPA ukumbuke uchawi wa ku deal na EEPROM data au Flash!


Hii program ni rahisi, unachagua aina la gari, then chagua kiasi cha mileage๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!

Sasa, ukipewa data, load tu kwa hiyo EEPROM husika umeoneshwa! Kazi kwisha!

Download hii program !

DOWNLOAD

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

click HERE

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†

ย 

Au tuseme umekorofisha data original wakati unafanya utundu, load tu hiyo data iwe ka dump!

DOWNLOAD

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

click HERE

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†


ODOMETER CORRECTION

ONYO

We moved the ODOMETER nonsense to HERE,
So, don’t click HERE

Fata au utafata maelekezo ya kwenye hii video ili uweze kutumisa vizuri!
Uchawi ni kwamba unaoneshwa EEPROM a.k.a chip/ic alafu unasoma hizo data, kisha unaingiza kwa hiizi ma software na kupewa namana ya kuandika au kubadili hizo kilomita unazotaka๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!

Kwanza tunadhani unajua niaje kuhusu EEPROM work, kama la bonyeza HAPA ukumbuke uchawi wa ku deal na EEPROM data au Flash!


ย 
unaezakuta program moja ikifanya kwa gari fulani, inashidwa baadhi za magari mengine, so tumeweka program tofauti tofauti pamoja ya kwamba ukikosa moja, nyingine inakuvusha…

DOWNLOAD

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

click HERE

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†


Kurekebisha KILOMITA za gari

Uchawi ni kwamba unaoneshwa EEPROM a.k.a chip/ic ya kusoma na kuandika KM zingine mpya!

Baadhi unaeza kufanya kwa OBD bila usumbufu wa kutoa EEPROMโœŒย 
Maelekezo yooote hapo kwenye hizi program, usiruke kuyasoma, seen๐Ÿค”?

Very easy, ukisoma hizo data, kisha unaingiza kwa hizi software, utaoneshwa KM za zamani, then ubadili kuweka, kuandika, kuingizaย  hizo kilomita mpya unazotaka๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ


Kwanza tunadhani unajua niaje kuhusu EEPROM work, kama la bonyeza HAPA ukumbuke uchawi wa ku deal na EEPROM data au Flash!


DON’T FORGET!
Some vehicles could hide the Odometer data in several, different ECU’s, and or Key!
You may also need do some ‘ujinga’ in๐Ÿ‘‡ F, or 2F or even in 2E๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ, as instructions will show๐Ÿ‘‡!

Otherwise, change mileage, Engine fails to start!
HAPA UJANJA tu!
DOWNLOAD

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

click HERE

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†

ย 


May be whatever is causing You believe MUST do some nonsenseย to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!

So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!

click here


๐Ÿ‘‡

IMMO OFF files

โ˜โ˜
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!


HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah๐Ÿ‘‡

Click Here
bonyeza HAPAย 


ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!

click HERE


WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye ย ECU.

Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!

Click HERE


Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tuย 



ย 

KUBADILI ODOMETER(Nissan)

ONYO

We moved the ODOMETER nonsense to HERE,
So, don’t click HERE

Kama umepata ule ujanja wa kuchezea EEPROM am IC/chip๐Ÿ™„, kama bado bonyeza HAPA ujue niaje, but assuming kama tayari unajua hizo blaa blaa za EEPROM unafungua tu clustter ya Nissan alafu unatafuta EEPROM inaohifadhi data za mileage ambao mara nyigi ni 93C56 au 93C66 au ukikosa muulize mhudumu aina ya gari ili akumbushe.

Anyway ukiweka milleage, yaani digits unazotaka KM ioneshe unaziweka tu kwa hii software alafu inakwambia chakufanya na pakufanya…as in HEX digits za kuingiza!

Beer zetu mbili๐Ÿป uweze ku download๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†


uchawi wa kutibu DPF/ADBLUE/IMMO/EGR

Kwanza, assuming kwamba unajua ujanja wa EEPROM, kusoma, ku save data, nk, ukitaka bonyeza๐Ÿ‘‡

HAPA

www.5021.tips/ujanja/eepromworkย 

๐Ÿ‘†tuliekezana!


Anyway, baada ya kutambua na kusoma data kutoka hiyo EEPROM ya funguo ama Flash za DPF ama whatever, hiyo data unaiingiza tu kwa hii program na ndani ya sekunde 0 sifuri, program inafanya uchawi๐Ÿคทโ€โ™€๏ธ!

Kisha kurudishia data utakapoingiza /kurudisha/kunadika kwenye hiyo EEPROM namna hii video inakuonesha!

Na hii pia maana kuna zingine ukizikosa unazikuta huumu๐Ÿ‘‡

DOWNLOAD
๐Ÿ‘‡

BOYEZA HERE

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†
Hizo za funguo bonyeza hapa hapa ujue namna ya matumizi๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!


Translate /Tafsir /Traduire