BENZ STARFINDER🕵️‍♀️ benz cars’ systems’ tech info, diagnostics, wiring diagrams, nk

Mercedes Benz wanatoa umbea, ujuzi, ujanja wooooote, kuhusu wakati gani, kwa nini, utumise nini, yaaani, jinsi ya kugundua, kutatuta magari yao pamoja na michoro ya waya, picha ya kia kitu!
So, it’s up to you🤷‍♂️,
ukitaka tumejazana taka taka yote,
pamoja na  📲APP,
kwamba  unaeza kuitumia kwenye 📲simu
popote ulipo unapozunguka,
bila laptop 💻!
Like, wakati unapima BENZ kuna vi code code wanaotumia vya kumanisha kitu gani kwenye mfumo gani niaje🤷🏼‍♂️!

Mfano, kumanisha fuel pump wanweza kuweka code FP17/QU,
so kama hujui FP17/QU inamanisha upumbavu gani au wapi🙄, unakwamma tu!

HAPA UJANJA tu!

Ata kwa📲simu unatumia👇

Tazama hii video uone namna kwenye simu📲


Ukitaka kwenye simu📲 ama tuseme iwe mobile kwamba popote ulipo 📲!
👇👇👇

BONYEZA HAPA

👆👆👆👆👆👆

Kuiweka kwenye kompyuta💻
DOWNLOAD 
👇👇👇👇
👇👇👇

CLICK  HAPA

👆👆👆👆👆👆



May be whatever is causing You believe MUST do some nonsense to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators🤷‍♂️!

So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!

click here


👇

IMMO OFF files

☝☝
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!


HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah👇

Click Here
bonyeza HAPA 


ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!

click HERE


WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye  ECU.

Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷‍♂️!

Click HERE


Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tu 



STARFINDER inafunguka hata kwenye simu popote ulipo🤷🏼‍♂️

Yes, ni free but don’t flee😂😁!
Unachangia just 2🍻drinks,
compensate for our time & data🧐!

CHAT, ask👇 SUZAN for passwords🤷‍♀️!

EMAIL📩 ujanja@5021.tips
WhatsApp🤳 +254 753 066146 👇

(Be careful, some letters are Capital,
numbers, stupid things like ^%*-#@)

Translate /Tafsir /Traduire