EEPROM WORK practice

Kwanza ujue kwmba tulijaribu kuelekezana kuhusu uchawi kuchezea data ya kwenye IC/EEPROM/CHIP, as in, namna ya kusoma, edit, delete, copy, nk hizo EEPROM data!

Kama bado hujapitia, na unataka kupata idea ya niaje hizo blaa blaa, then bonyeza hapa👇

www.5021.tips/ujanja/eepromwork



Sasa unaeza kuwa huna (don’t have) mashine yeyote ya kusoma hizo EEPROM, na kweli unataka kufanya mazoezi🤷‍♂️!

So what we have done, ni kuwekea hapa software inasoma hizo data,
…pamoja na mfano ya hizo EEPROM data ili ufanye mazoezi ku edit, delete, blaaa blaaa, you know?



samples of EEPROM data

CLICK HERE

Software’s to use

CLICK HERE

and or

CLICK HERE

….ama zote bomboclat😜😁🤣


Then ukitaka ku compare data, use this tool
bonyeza click kanda

☝☝☝


May be whatever is causing You believe MUST do some nonsense to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators🤷‍♂️!

So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!

click here


👇

IMMO OFF files

☝☝
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!


HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah👇

Click Here
bonyeza HAPA 


ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!

click HERE


WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye  ECU.

Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷‍♂️!

Click HERE


Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tu 



Translate /Tafsir /Traduire