Decoding EEPROM data, FLASH DATA coded lines


Kwanza, ukumbuke kwamba tuliekezana amost kila ujinga kushu EEPROM work, namna kusoma data na Adress, kubadili, nk!

Kama bado, na ukitaka BONYEZA HAPA!


Ujanja katika uchawi huu, ni kwamba, unaweza kufungua na kulinganisha hizo binary faili tofauti tofauti, kwa pamoja, na ukaoneshwa utofauti uko wapi, insha’Allah๐Ÿคž!
Ina maana,ย  kama kuna mtu umemutumia faili na akafanya kazi fulani na akakuficha bila kuambia, hu ujanja utakupa umbea wote!
Infact ata wenzako ama hizo software zinazokuomba data ili zikufanyie kazi fulani kama ku delete, DPF, EGR, DTC, IMMOFF, nk, kiisha zinakupa data tofauti baada kuzifania kazi, ukilinganisha data kabla na baada, utajua niaje!

Alafu hapo๐Ÿ‘‡chini kuna programs mbili, use the same password of ‘Pombe mbili tu‘ to download both!

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡DOWNLOAD HAPA ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
CLICK BONYEZAย 
๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†
EXTRA PROGRAM๐Ÿ‘‡
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡DOWNLOAD ANOTHERย ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
CLICKย  BONYEZAย 
๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†
ย 


May be whatever is causing You believe MUST do some nonsenseย to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!
So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!
click here

๐Ÿ‘‡
IMMO OFF files
โ˜โ˜
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!

HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah๐Ÿ‘‡
Click Here
bonyeza HAPAย 

ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!
click HERE

WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye ย ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!
Click HERE

Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tuย 


Translate /Tafsir /Traduire