IMMO EEPROM/Transponder details

Tayari ulijua kwamba kwenye immobiliser system ya gari, code/password moja inakuwa kwenye chip/EEPROM fulani ndani ya immo box ama Control box, na upande wa funguo hii code/password inawekwa kwenye transponder🙄!
(Kama hukupitia hapa kuelewa niaje, tafadhali bonyeza hapa ujue niaje vinginevyo hautona maana ya huu ujanja)

Tena tulijua kwamba funguo ikipotea unaweza kupata code/passsword kutoka hiyo EEPROM ili ukatumbukize kwenye funguo ingine ndo gari iwake, au pia kama control boxi imekufa unatoa haka EEPROM ukaweke kwa hiyo control boxi ingine👌! Sasa uchawi ni kusipojua EEPROM ipi ya funguo maana iwe control boxi au immo box kuna EEPROM nyingi nyingi. So hii software inakusadia kujua EEPROM ipi au Transpoder ipi inaendana hiyo gari🤔 namna hii video inaonesha kiisha ushuke chini ku download!

Kuna two 2options,  
Either download for use on phone, or for laptop, or both!

 


Ukitaka, BONYEZA HAPA, upate ile App📲 ya kwenye simu nama hii video inaonesha!

CLICK TO DOWNLOAD THE PHONE APPLICATION

This is if you want use on computer💻laptop, otherwise scroll back👆up to use on📲phone!

CLICK👇TO DOWNLOAD FOR LAPTOP /COMPUTER 


Translate /Tafsir /Traduire