Tayari ulijua kwamba kwenye immobiliser system ya gari,
..coding, password ama tuseme data, inakuwa kwenye chip, EEPROM (flash) fulani ndani ya kifaa chechote husika,
…inaeza kuwa, immo box, Instrument Cluster, Control box ECU, au nk!

Sasa, hii takataka ya aina ya kitabu inaweza kuwa sio takataka kutumika wakati wa kufanya maamuzi makini,
…ikiwa ni pamoja na au kwa mfano wakati wa kubadilisha spea, vipuri spare parts ili kuepuka sehemu nyeti zinazoweza kufanya gari kuharibika baada ya kubadili spea!
Au ikiwa ni lazima ubadilishe hiyo spea, huu ujinga unaeza kuonesha sehemu gani unaweza kubadili, kuondoa, na au kuongezea!


Sasa wale mnaofanya uchawi wa, funguo, ecu blaa bla, mnajua jinsi kitabu hiki kimeja tu upumbavu usio na umuhimu!
Vitu hivi tunaviiba kutoka kwa mashine tofauti, kisha tunavichanganya kuwa ujanja mmoja, kwa magari mengi tofauti, ili mtu yeyote aweze kuwa mwerevu, mkorofi, mjanja, mjinga 😂😜😁 nk!
So ukiwa na mda, pamoja na data ya kuharibu, weka hii kitabu kwenye simu yako ya mkononi ili iwe rahisi,
…na haraka kufanya maamuzi wakati wowote, popote unaweza kuwa, chini ya gari 🚧, kwenye baa🍻, gesti, yaani 🛏lodge na pengine, , nk. unatoa tu simu na kutambua niaje!
HAPA UJANJA tu🧐
👇
BONYEZA CLICK
☝☝☝
(Unaeza kusomea hapo, bora download uweke kwa simu yako)
(Kama hukupitia uchawi wa IMMOBILISER SYTEM kuelewa niaje, namna kutengeneza ufunguo, lost key, spare key,
tafadhali bonyeza HAPA ujue niaje vinginevyo hautona maana ya huu ujanja)
Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tu
May be whatever is causing You believe MUST do some nonsense to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators🤷♂️!
So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!
click here
👇
IMMO OFF files 
☝☝
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!
HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah👇
ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!
WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷♂️!
Click HERE