For deep sh*t on HYBRID Vehicle‘s,
Jinsi unasikia ‘nga, tofauti kuu kati ya magari ya umeme Electric Vehicles, na ya hybrid, ni kwamba magari ya umeme (EVs) yanatumisa tu umeme kabisa,
….wakati magari ya hybrid yanatumia injini ya kawaidi pamoja na motor ya umeme.
💊Hiki kitabu kipo katika lugha ya wenzetu, so tumia ujanja wa kutafsiri, kwa kupiga📸picha ya maadishi, alafu…
HAPA UJANJA tu😜
Kitabu hiki kinaanza na utangulizi wa hizi blaa bla, kikijumuisha aina tofauti za gari la umeme, gharama na uzalishaji, na miundombinu ya kuchaji, kabla ya kuendelea kueleza jinsi magari ya umeme na hybrid yanavyofanya kazi.
Kitabu hiki pia kinashughulikia taratibu za matengenezo na ukarabati wa magari haya, ikiwa ni pamoja na kutafuta makosa, kuhudumia, kutengeneza na taarifa za mjibu wa kwanza, yaani emergency repairs!
Loading...
Ukitaka ile App ya SIMU📲 au KOMPYUTA💻
bonyeza HAPA

May be whatever is causing You believe MUST do some nonsense to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators🤷♂️!
So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!
click here
👇
IMMO OFF files 
☝☝
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!
HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah👇
Click Here
bonyeza HAPA
ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!
click HERE

WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷♂️!
Click HERE
Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tu




