Hapa tumeweka taka taka yoooote, as in, tumeweka kila ujinga kuwezesha kufungua, yaani ku unlock, almost kila aina ya radio๐ค!
Ndiyo, pamoja na kubadili lugha ya radio , kutoka kwenye ‘hu hi ha ho he’ ๐๐คฃ๐ย ianze kuongea, kuonesha maneno kwa lugha ya, Luo๐คทโโ๏ธ Sukuma, nk!

Uchawi ni, either kuingiza tu SERIAL NUMBER, kiisha unapata unlock code๐คทโโ๏ธ!
Ama, kutoa ili usome na kubadili data iliomo kwenye IC/EEPROM fulani kwa motherboard ya hiyo radio namna tulioelekezana kwa video au kwa PDF ilioko kwa hizo software!
Data za kwenye SDcard, DVD, just ni COPY and PASTE, au ufate maelekezo yaliopo kila!
Ukitaka kudownload, kila DVD kama 4GB hiivi๐
BONYEZA HAPAย
๐๐๐

Ku Caliculate UNLOCK codes, nyingi unaweka tu serial number! Zingine utahitaji EEPROM data!
ย ย Hizi video ni mfano ya namna huo uchawi unavyotumika kufanya kazi๐ then after download below the video!
DOWNLOAD
๐
CLICK ย BONYEZA
RANDOM INSTRUCTIONS
&
EXAMPLES
๐๐๐
ย
May be whatever is causing You believe MUST do some nonsenseย to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators๐คทโโ๏ธ!
So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!
click here
๐
IMMO OFF files 
โโ
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!
HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah๐
ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!
WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye ย ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu๐คทโโ๏ธ!
Click HERE

Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tuย




