BACKHOE LOADER (Operation, Diagnostics, Troubleshooting & Repair)

BACKHOE LOADER, wengine wanaiita tu LOADER🤷‍♂️,
ama blaa bla, mara loader excavator, tractor excavator, digger, eti loader backhoe 😁🤣😂 whatever, but uchawi ni ule ule🤷‍♂️!
Inaweza kuendeshwa kwa urahisi na dereva mmoja!
Ni mashine, ambayo ina X, trekta katikati!
Ina Y, jembe nyuma, la kuchimba!
Na, ina Z, koleo mbele, la kuweza kubeba, kupakia, whatever🤷‍♂️!
Trekta, ni teknolojia ya kawaida ya magari! Jembe na jembe ama digger, teknolojia ni kuhusu Hydraulics na Pneumatics!

Ukitaka kukumbuka upuuzi huu kuhusu
HYDRAULICS & PNEUMATICS,
unaweza kubofya HAPA!

 
Jiamini tu!
Be confident chechochote kushusu BACKHOE LOADER!
Takataka hizi kwa kila aina, zina ujanja wote, pamoja na jinsi ya kutumia kufanya kazi, jinsi ya kutatua na kurekebisha shida zozote!
Hizi uchafu tunapakia hapa, vina muongozo wote, jinsi ya kufyatua sehemu yoyote,
michoro yote ya nyaya waya za umeme,
kila upuuzi wa kukufanya kuwa mjanja na mashine yoyote ya backhoe!
Click, bofya tu kwenye aina unataka, insha’Allah✌

JOHN DEERE click here


JCB click here


NEW HOLLAND click here


KUBOTA click here


CAT click here


CASE click here


HITACHI click here  (TATA FIATI)


 

 

 

 

 


May be whatever is causing You believe MUST do some nonsense to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators🤷‍♂️!

So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!

click here


👇

IMMO OFF files

☝☝
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!


HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah👇

Click Here
bonyeza HAPA 


ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!

click HERE


WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye  ECU.

Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷‍♂️!

Click HERE


Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tu 



HYDRAULICS

Kuhusu hizi🤔 mifumo ya PNEUMATIC na HYDRAULIC, ok,
…kwanza, kusoma maandishi, maneno mengi kunaweza kuchosha,

…na sio kutia moyo, unapojifunza kitu, au kukumbuka ulichojua tayari!

Ukitaka, video👇 tumeweka chini!

Maandishi haya ni muhtasari tu, wa mambo muhimu!

Naamini umeona baadhi ya vifaa👇 hivi, vinavyofanya kazi, kiwandani, maeneo ya ujenzi, au haya magari makubwa yanayotumika kufanya kazi maalum!
👇

Picha hizo hapo juu, baadhi ya mashine ni za Pneumatics, na Hydraulics!

 

 

 

 

Unaona, jinsi mashine zote zina sehemu ya silinda, cylinder, kama namna hii👇
Ndani, kuna mkono, ambao unahitaji kutembea kutoka Y hadi X na, X hadi Y, kulingana, ili kazi iweze kufanywa na mashine hiyo!
Kusukuma, kufanya mkono huu kutembea, unaweza kumwaga ndani, kwa mfano, maji, au hewa, au mafuta yoyote, au kemikali fulani maalum, mradi tu inaweza kufanya kusukuma na au kuvuta mkono huo!

 

Kuna mathara, kulingana na kile kilichoingizwa kuweza kusukuma au kuvuuta huo mkono kutembea!
Unaweza kutumia kitu solid A, kama poda, unga, nk😜!
Kitu kioevu Liquid, B, kama maji, mafuta, oili, kikitumiwa, sasa huo ni uchawi wa HYDROLICS
Alafu, kitu gesi gas, C, kama hewa ya kawaida, kikitumiwa, huo ni uchawi wa PNEUMATICS!

 


Inaweza kuwa maji au hewa au mafuta, kutumiwa kusukuma au kuvuuta mkono uliopo D!
Siri ya HYDRAULICS na PNEUMATICS, ni kuelewa mfumo wa jinsi, hiyo hewa au oili kuhifadhiwa,
…pamoja na maelezo ya chochote kinachohusika katika njia ambayo hiyo hewa au oli huchukua kutoka A hadi D, na vinginevyo kurudi au kupotezwa, ukiwa mfumo ni wa hewa!


HYDRAULICS

(bonyeza HAPA kwa ujanja wa HYDRAULICS)

Hapa👇 ni mfumo wa Liquids, B!
Inaweza kuwa aina fulani ya mafuta maalum, oili au maji! Ujue tu kwamba Hydraulics inashughulika na kitu ambacho chembe chembe zake liquid B hazijatengana sana, zinakaribiana!
…ikilinganishwa na gas, C, pneumatics, ambayo chembe chembe zake zimetengana kwa kila!

A)  Reservoir Tank

…sehemu ya kuhifadhi hayo maji au oili au mafuta yeyote husika kaitka huo mfumo!
Yes, You know what I’m talking about🤷‍♂️

S) Fluid Level Sensor
Kwenye baadhi ya mifumo, kuwa tayari kupata kitu cha kupima wingi wa chochote kilicho kwenye tanki, yaani, Fluid Level Sensor!


Sasa, ukibonyeza HAPA, kuna ujanja wa namna kuchunguza, kupima LEVEL METERS, pamoja na sensors wenzake wengine wote, click HERE!


B) Filter

…ya kuondoa uchafu wowote unaeza kuwa ndani ya oili, maji, mafuta au chochote kinachotumiwa kwenye mfumo huo!

Kumbuka🧐,
…pia kunaweza kuwa na B, filter, nyingine, kwenye njia inayorudi kwenye tanki, kwamba hayo mafuta, oili, maji, inasafiswa baada ya kazi kabla kurudi kwenye tenki!

Ndiyo😂😁, ukibonyeza HAPA, kuna ujanja wa namna kuchunguza, kupima FILTERS, pamoja na sensors wenzake wengine wote,
click HERE!

C) Pump

…ili kusukuma au kuvuta hayo maji, mafuta, oili, ili huenda kufanya kazi husika kwa……kulingana na mashine, mfumo wowote unaoshughulika nao!
Tafuta njia za kupata pampu iko wapi!
Kumbuka, mashine yoyote unayoshughulika nayo, inaweza kuwa na pampu zaidi ya moja!
Je, unafahamu ujanja kuhusiana hizi heavy duty pumps?
 click 👉 HAPA UJANJA tu!

Q) Temperature, and or, Pressure Meter,
Sensor…

…au kifaa cha kuangalia halijoto, au na pressa, shinikizo, ya hayo maji, oili, mafuta iliosukumwa au kuvutwa!

”     

Temperature NA Pressure kuna namna, jinsi viangaliana, ndo maana sehemu kwenye kupima joto ama pressa, unaeza kuta kuna sensor za vipimo vyote viwili, ama moja yao! 

Na kwasababu kusukuma au kuvuta kunaweza pia kubadilisha halijoto, kwa hivyo ni hitaji la kuangalia kiwango cha joto!
kwenye mifumo mingine, inaweza kuwa mita ya kawaida kama hii👇
Na, mifumo mingine inaweza kutumia vitambuzi, yaani sensors, kutuma taarifa kwa kompyuta, ECU
…kisha kompyuta kutuma data kwenye skrini dashboard ili kuonyesha👇
Hakuna sehemu maalum ambapo uzikute!
Kwenye kila mashine, lazima utumie kichwa chako kufikiria wapi, kwa sababu sasa unaelewa mfumo.


Tena🤷‍♀️, ukibonyeza HAPA, kuna ujanja wa namna kuchunguza, kupima Pressure Sensor, Temperature Sensor, pamoja na sensors wenzake wengine wote, click HERE!


X)Relief Valve

Mashine zingine unaezakutana uchawi wa kurekebisha pressa, shinikizo, ikiwa inazidi zaidi ya kawaida ambayo inapaswa kuwa!
Hiyo Releif valve inaeza kuwa hizi za kawaida!

Pressa 👇ikizidi, inasukuma X kufunga au kufungua njia mbadala, kupunguza kiasi cha oili!

Inaeza kuwa Valve ya umeme yenye solenoid inashugulikiwa na control unit, kompyua, ecu!
Je, unafahamu ujanja kuhusiana hizi SOLENOID’s?
 click 👉 HAPA UJANJA tu!

Z) Accumulator

…ni huhifadhi hayo maji au mafuta, oili, ikiwa bado kwenye pressa, yaani kusaidia kudumisha uthabiti wa mfumo!
Accumulator inaweza kutumika kama usambazaji wa dharura wakati pampu imegoma au tatizo lolote lingine la kiufundi!
Hii accumulator inasaidia kupunguza mapigo, na kunyonya mishtuko kwenye mfumo!
….alafu hizi accumulators zinaeze kuundwa kwa namna tofauti tofauti!
Ndiyo, hizi accumulators husaidia kuondoa uzito kwenye pampu.
vinginevyo, pampu itakuwa ikifanya kazi kwa muda wa ziada kupita kawaida!
Sasa kutambua inakaa wapi, hapo lazima ujiongezee, use you head kutafakari!
Vizuri, kwasababu sasa unaelewa kazi yake na ata muonekano so unaeza ku guess🤷‍♀️!


D)Valve’s Body,

…ambapo, chochote kilichotumika, maji ama mafuta ama oili, sasa kimefika hapa, na kwa pressa ya juu!Hapa sasa ndipo mafuta, oili, inapoelekezwa mahali pa kwenda,

…silinda ya kwenda ili kusukuma au kuvuta ule mkono tulioanza nao, mwanzoni ya huu ujinga!

Kwa mfano, kuweza kusukuma mkono kutoka Y kwenda X, lazima mlango 1 ifunguliwe!
Obviously kutoka X kurudi Y mlango 2 lazima ufunguliwe!
Sasa, nadhani una imagine D inavyovutwa au kusukumwa?
Hiyo valve body imekaa namna 👇

F) Controllers

Kufungua njia ya 1 au 2,

…unaezatumia gears za kawaida,

…ama buttons👇

…kufungua valve ya umeme yenye solenoid inashugulikiwa na control unit, kompyuta, ECU!
Je, unafahamu ujanja kuhusiana hizi SOLENOID’s?
 click 👉 HAPA UJANJA tu!

?R

…ni chechote kitafungua kwenye huo mkono🤷‍♀️


VET (Vocational Education Training) Heavy Duty Vehicles, Machines (vitabu)!

Hizi vitabu vya VET (Vocational Education Training) viko katika lugha ya wenzetu, tumeiba uko uko!
Kama vitakusiadia, inshaÁllah🤞

…alafu, usisahu kutafsiri na simu, kwa lugha unaelewa jazakÁllah✌

HAPA UJANJA tu👌

HEAVY MECHANICAL-a
Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [125.46 MB]

HEAVY MECHANICAL-b
Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [74.53 MB]



Ukitaka ile App ya SIMU📲 au KOMPYUTA💻
bonyeza HAPA



FUNDAMETALS MOBILE HEAVY EQUIPMENT
Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [191.52 MB]

HEAVY DUTY TRUCKS’ SYSTEMS
Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [80.24 MB]

AUTOMOTIVE ENGINES diagnosis Repair Rebuilding
Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [101.12 MB]

Auto Electric Electronics
Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [47.74 MB]




Ukitaka ile App ya SIMU📲 au KOMPYUTA💻
bonyeza HAPA

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [8.70 MB]

DOOSAN EQUIPMENT (Diagnostics💻 Service & Repair 📲Data & Information 📚)

We be putting here, whatever rubbish about DOOSAN‘s engineering, manufacturing, heavy construction equipment👌!

HAPA UJANJA tu😎

DOOSAN DA40 SERVICE & REPAIR INFO

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [57.65 MB]



CAT Heavy Equipment Service, Diagnostics & Repair Tips

Ikijumuisha na mafunzo ya jinsi kila mfumo unavyofanya kazi, hii 📚Service, Diagnosis & Repair database inakuongoza wewe fundi kuhusu jinsi ya kuunganisha na kukarabati kila sehemu katika hizi CAT, obviously pamoja na michoro za waya!
Obviously, sii unajua kuna maelekezo jinsi ya kufungua, kufunga, kurekebisha, kufanya hiki na kile…pamoja na michoro ya wiring, picha zote😎!
Includes all the tech info on how to repair, how to troubleshoot all everything! 

HAPA UJANJA tu!
👇

👇👇👇👇

CLICK  HERE

👆👆👆👆
For example mfano


May be whatever is causing You believe MUST do some nonsense to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators🤷‍♂️!

So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!

click here


👇

IMMO OFF files

☝☝
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!


HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah👇

Click Here
bonyeza HAPA 


ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!

click HERE


WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye  ECU.

Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷‍♂️!

Click HERE


Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tu 



BENZ ACTROSS ELECTRONIC SYSTEMS

Sasa, this is intended for the technical personnel responsible for service and maintenance of MercedesBenz trucks.

The contents in here are split up into:
• function descriptions
• component descriptions
• Description of location of electrical connectors, sockets and
ground points

HAPA UJANJA tu👇
Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [37.11 MB]

Au, hii PDF ikichelewa kufunguka, bonyeza  hapa GOOGLE DRIVE fasta fasta

 

BENZ DIAGNOSIS PASSWORDS

Wakati unafanya diagnosis kwenye magari za BENZ yeyote, ndogo na kubwa lorry kama Actross, ukitaka kufanya yale mambo advanced kama key programming, ADblue, ECU blaa blaa, kushusha/kuongeza speed, etc, unaitiishwa password namna hii👇👇

Like ukitaka kufanya ECU programming
Au ukitaka kufanya zileSo baada ya kuweka password ndo inafunguka namna hiii👇Infact ukitaka kuona zaidi au namna ya ujanja wa hii software,  …hebu watch this video then download hapo chini👇

DOWNLOAD HAPA👇

password: cc walayvy

👆👆👆👆👆👆👆


 

Translate /Tafsir /Traduire