Electronics Programming (ARDUINO)

Usisome tu upuuzi huu! Fanya na vitendo!
Huko chini, tunaweka sampuli za kufanya mazoezi nazo!
Unahitaji tu kompyuta ya kawaida!

Tafadhali fanya mazoezi ya kutumia hizo zana pepe, yaani zisioshikwa but zinaonekana!
Kufanya mazoezi ili kukushawishi uanze kufanya vya ukweli😎!
Alafu, hizo vifaa venyewe, unaeza kuzipata popote nchi yeyote uliopo, Ghana, Jamaica, Rwanda, Barboados, Botswana, Trinidad, ayneK😂🤣, popote ulipo, seen🤔?

HAPA UJANJA tu😎!

Naamini unaona Watu wakawaida wakitengeneza, kuunda vifaa vya ajabu!
So, kwa kutumia mfano wa mradi huu, drone,
wa ndege isiyo na rubani,
yaani, drone, ‘duloni‘ 😜🤣😁!
Ndiyo, najua unajua kazi nyingi tofauti zinazofanywa na ndege isiyo na rubani!

Na jinsi inavyofanya kazi ikiruka kote kama ndege!
Kuwa na mtazamo🤔!
Katika ‘duloni’, 👇
sehemu kuu ni mota!
yaani, electrical motors, SOZI👇!
Hizi mota zina feni (m) zinazozunguka!
Kama ilivyo👇,
SOZI inadhibiti m!
Uchawi wa drone, jinsi inavyofanya kazi, ni kudhibiti, kuchezea hizo mota zenye mabawa!
Ndani ya drone, hakuna kitu ngumu!
Ndiyo, unajua uchawi wa mota🤔!
Umeme ukipungua, kasi pia inapungua!
Kugeuza pande za betri, hubadilisha mwelekeo ambao mota inazunguka!

So, kasi na mwelekeo wake wa mzunguko unaweza kudhibitiwa (controlled) kwa kudhibiti umeme wake!
Mota hizi, SOZI, zinadhibitiwa na kompyuta, Q!
Na kumbuka kompyuta inafanya kazi kulingana na jinsi ilivyoamriwa (ilivyopangwa) programmed kufanya, yaani, how it’s coding is coded🤣😂 !☝Kulingana na ujumbe kutoka kwa kitambuzi, sensor ama controller (A), jinsi unavyotaka drone iende, kompyuta (P) itatuma huu ujumbe kwa kompyuta mwenzake, Q 🤷‍♂️!
Obviously kwa kupitia utaratibu, B, usiotumia waya!

👇👇👇
Ebu tazama picha hii kwa maakini, ili tujaribu kujadiliana pamoja!
Kumbuka, nilitumia tu drone kama mfano, lakini kuna vifaa vingi sana vinavyotengenezwa kwa kutumia upuuzi huu!
Kwa hivyo, usiweke tu mawazo yako kwenye drone pekee😁😜!
Sasa, mota hizi👇, SOZI, zinauzwa popote mdukani!
Hata hiyo kompyuta (Q)  yaani mazabodi  (motherboard), inauzwa kila mahali dukani, lakini inauzwa ikiwa tupu, tupu bila amri yoyote, yaani  without programmed instructions, ama tuseme data!
Niiga, naamanisha maagizo ya jinsi ya kudhibiti mota, bomboclat😁🤣😜!
Hivi ndivyo upuuzi wa ARDUINO unavyokujia!
Kuna kompyuta hizi tupu zinazouzwa kila mahali!
Kompyuta hizi zinajulikana kama ARDUINO,
..yaani
Arduino Development Boards!

Nikisema ‘kompyutaakili yako isiwaze tu ile ya kawaida ambao kila ameaozeoa😂🤣😜!

Alafu kuna aina nyingi tofauti za hizi, ‘kompyuta’, yaani maza boadi za ANDROID, na zinaweza kugawanywa kulingana na ukubwa wake, madhumuni yake, sehemu zake, na mengi zaidi!

Na kama unavyojua, kwamba kompyuta hufanya kazi kwa kutoa matokeo kulingana na ingizo!
Kama unavyoona kwenye hii picha👇 hapa chini,
kompyuta (B) ilipangwa kusikiliza kitambuzi (A)!


Mradi tu kitambuzi (A) kinatuma ujumbe kuhusu uwepo wa pombe (P) kompyuta (B) huambia kiendeshaji (C) kufungua mlango.

Vitambuzi(A) ☝, yaani sensa (sensor) kama (A)☝zinauzwa kila mahali!
Unapoendelea kufikiria nini cha kuunda, kutengeneza, insha’Allah,
unaweza kutaka kutumia takataka hii,
BONYEZA HAPA

..kujifunza kuhusu vitambuzi tofauti
,
jinsi vinavyotumika katika hali halisi ya maisha, kwenye vifaa fulani vya kielektroniki!
CLICK HERE get an idea of how what where sensors applied!
Actuators (C) viendeshaji, vinauzwa kila mahali!Ndiyo, na tena🤪,
Unapoendelea kufikiria nini cha kuunda, kutengeneza, insha’Allah,
unaweza kutaka kutumia takataka hii,
BONYEZA HAPA

..kujifunza kuhusu viendeshaji tofauti
,
jinsi vinavyotumika katika hali halisi ya maisha, kwenye vifaa fulani vya kielektroniki!

CLICK HERE not to get ideas of how what where sensors applied, bomboclat🤣😜😂😁!
Kumbuka, nikisema ‘kompyuta‘ (B), akili yako isiwaze tu ile ya kawaida, akina laptop, ambao kila ameaozeoa😂🤣😜!So ata kompyuta(B) ☝, yaani ‘maza bodi‘ kama (B)☝zinauzwa kila mahali!Kompyuta huja ikiwa tupu, bikira!
Hapa ndipo unapoweka programu, maelekezo (data)!
Wale wa www.arduino.cc  wanaotengeneza kompyuta hizi, hufanya hivyo kwa hiari, voluntarily🤐!
click here download
Programu☝ unayohitaji kuandika maelekezo (uchawi) katika ‘maza bodi’ kompyuta hii, ni bure, wala bila masherati ya “just 2 beers“😂😁😜!
Bofya hapa kuipakua!
Juu ya kuandika (coding) huo uchawi,
tafadhali usiogope! Usikaate taama!
Niiiga, usipoteze matumaini ya kuwa mbunifu!
Kumbuka, HAPA UJANJA tu🤠, mtu yeyote,
ikiwa ni pamoja na Wewe,
unaweza kuwa mjanja, kufanya chochote, mwenyewe, peke yako, insha’Allah!
Be confident😎!
Kwa mfano;
Ukitaka kubuni uchawi,
👇
..wa kutenganisha, kutoa chupa za bia katika chupa zinaopita!Sasa, unaanza kufikiria kuhusu unachotaka kudhibiti, yaani ku controll🤔!
Unaweza kugundua kuwa chupa ya pombe ni nyeusi! Kitu kingine kinaweza kisiwe cheusi, bila giza kama chupa!Labda kwa sababu ulibofya hapa, na una wazo la vitambuzi tofauti!
Sasa unafikiria, na unapata kitambuzi kinachoweza kugundua vitu namna hivi kwa njia ya kipekee!Huenda ikawa ni kwa sababu, chupa ya pombe ni nyeusi, inafanya uchawi tofauti, kwa chochote ambacho hii (sensor), yaani kihisi hiki, hutumia kuhisi🤷‍♂️.
Naaam, insha’Allah, tena, huenda ikawa ni kwa sababu, chupa aina zingine , sio nyeusi, zinafanya uchawi tofauti, kwa chochote ambacho hii (sensor), yaani kihisi hiki, hutumia kuhisi🤷‍♂️.Sasa, katika huu mradi wako wa kutengenisha, unaona jinsi sehemu ya kuhisi (sensing) tayari imeshughulikiwa🤔?!
Upande wa kitambuzi (A) ni tayari, umeweza kupata kitambuzi, sensor ya kuchunguza hizo chupa!
😁😂🤣 Sasa usifikirie kukata mkono wa mtu, eti utumike kama kinendeshaji  (actuator)kutoa au kusukuma chupa ya pombe iliyogunduliwa!
Kuna viendeshi vingi sana, yaaani vipengele vya umeme, unavyoweza kufikiria!
Inaweza kuwa mota inayozunguka, au kitu kingine chochote, kama solenoid inayoweza kuvuta au kusukuma chupa ya pombe iliyogunduliwa👌!
Sasa, ni masha’Allah, kitambuzi (A) tayari!
Kiendeshaji (C) nacho tayari!
Kwenye kompyuta(C) ndo mchwi mwenyewe😂🤣😁!
Nakukumbusha, usiogope uchawi wa programming, coding ya kompyuta!
Hebu tuendelee polepole, tunapogundua jinsi ya kupata uchawi, coding maagizo ambayo kompyuta (B) inapaswa kufanya kazi nayo!
Kwanza kabisa, hii ‘zig zag’ haina uhusiano wowote na EEPROM work!
Huhitaji (sio lazima)ujuzi wa kujua jinsi ya kusoma, kubadilisha (edit) au kuandika, data kwenye EEPROM!
Lakini, hata kama unataka kujifundisha mwenyewe, EEPROM work, obviously HAPA UJANJA tu🤠!
Click here, jifunze mwenyewe, jazka’Allah🤣😂

Kwanza, tukubali ukweli huu🤔!

Huwezi kuamka tu na kuanza kuandika amri (programu) hizi instructions ambazo kompyuta hutumia🤪!
SI kwamba huwezi, lakini inachukua muda, wakati kumbe huhitaji maandalizi yoyote ili kuunganisha vitambuzi na viendeshaji, kwenye kompyuta (maza bodi)🤷‍♀️!
Ili kusaidiana, mwanzoni, upande wa programming, wewe zingatia tu kujua jinsi ya kuunganisha kebo ya usb kwenye kompyuta yoyote ya kawaida!
Kama vile unavyoweza kuhamishia picha, muziki kwenye fulashi diski (flash disc), hamishia programu (coding) ambayo Suzan atakutumia, kulingana na mradi uliowaomba wakubunie!
Na lazima ujue, kuunganisha tu waya ya USB na kuhamishia purogram, sio kua mjanja🤐!
Kwasababu bado unatutegemea kuandikia, kuundia purogramu!
Ndo maana tunatendelea taratibu wakati tunapeana uchawi wa wewe kuweza kujiuundia programu mwenyewe, inshaÁllah🤞!

A) Tumetambua kwamba kila aina sensors vitambuzi (Avinapatikana madukani, na ni rahisi kuinganisha kwenye (B) kompyuta (maza bodi)!
C) Tumetambua kwamba kila aina ya actuators viendeshaji (C) vinapatikana madukani, na ni rahisi kuinganisha kwenye (B) kompyuta (maza bodi)!
B) Tumetambua kwamba unaeza kupata, ata kama mwenyewe bado hujajua uchawi wa kuunda (B) purogramu (coding), yaani kuandika maelekezo jinsi kompyuta itaunganisha vitambuzi (A) kwa viendeshaji (C)!
Na ukumbuke hizi kompyuta (B), yaani maza bodi zipo aina tofauti, lakini utoafuti wazo ni mdogo tu!
insha’Allah, polepole polepole, tunaendelea kujadili kila sehemu iliyo kwenye maza bodi hizi, ili usifanye makosa yoyote, jazak’Allah🤞!


Tunaenda polepole, tunapokumbushana kwa undani, kuhusu uchawi wote, kuanzia misingi ya kuhamisha programu kutoka kwa kompyuta ya kawaida, hadi kwenye kompyuta fulani, chipu(Z) EEPROM!Tutajadili kwa undani, kila sehemu, kila kitu kwenye kompyuta hii, maza bodi!
Huna haja ya elimu yoyote ya shule!

HAPA UJANJA tu🍻


Part 0
Kuweka data (maelekezo) kwenye maza bodi (Arduino board)

Software ya kusaidia ‘kopi & pesti‘  kuhamisha programu iende kwenye kompyuta EEPROM, Z, inapatikana popote!
Na tayari uko nayo!
click here download
Tuseme🤔, kwa  kulingana maagizo uliyotoa😎!
Sasa umepewa na una data, ambayo inalingana na jinsi ulivyopanga vitambuzi na viendeshaji, kwenye  maza bodi🧐!
Mfano wa maelekezo coding data
Na ukumbuke hizi kompyuta (B), yaani maza bodi zipo aina tofauti, lakini hata kama utofauti wazo ni mdogo tu!
So, kwenye programu💻, kwa kutumia kompyuta ya kawaida, yaani laputopu💻,
hakikisha umechagua  ‘maza bodi’ ya Arduino sahihi, halisi, yenyewe unaotumia👌!
Kwenye kompyuta ya kawaida💻, kama vile jinsi unavyoweza kutafuta video, muziki, kutoka mahali ulipoihifadhi, sasa tafuta data hiyo ambayo SUZAN alikutumia! Data ikifunguliwa, insha’Allah, unaweza kuangalia, kutazama, kufuata maagizo wakati unajifunza, unafuatilia jinsi uchawi unavyofuata!
Tafadhali 🙏usibadilishe chochote,
bofya tu kitufe kimoja tu, UPLOAD, ili kupakia, kuandika au kutuma data kwenye ‘maza bodi‘🤐!Ukibadili bila kuelewa unachobadilisha,
tayari umeharibu kila kitu!

So hapo lazima utume vinywaji vingine, Suzan akushugulikiye na ujanja kwa debugging!
Sasa, nimechoka kuandika😢!

Utakuwa unarudi hapa kuangalia kila baada ya sekunde 43,200!
Utapata kitu kipya zaidi, insha’Allah🤞
Bonyeza hapa, mwambie mhudumu, ni mimi ameketi hapa pembeni😎!

May be whatever is causing You believe MUST do some nonsense to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators🤷‍♂️!
So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!
click here

👇
IMMO OFF files
☝☝
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!

HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah👇
Click Here
bonyeza HAPA 

ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!
click HERE

WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye  ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷‍♂️!
Click HERE

Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tu 


VW/AUDI(resourceful website)

VAG resources & Coding Tips
CLICK HERE

Otherwise…
This just some reminder of on about this ROSS-TECH team, that provide diagnostics ujanja for VAG‘s, VW, Audi, Seat, and Skoda automobiles


www.ross-tech.com has repair support forums, including diagnostic software, diagnostic procedures with videos!

#ROSStech #VAG #5021tips

 


May be whatever is causing You believe MUST do some nonsense to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators🤷‍♂️!

So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!

click here


👇

IMMO OFF files

☝☝
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!


HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah👇

Click Here
bonyeza HAPA 


ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!

click HERE


WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye  ECU.

Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷‍♂️!

Click HERE


Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tu 



Translate /Tafsir /Traduire